ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,487
- 88,627
Sio swala la Imani ni swala la vigezo.Mambo ya Imani ndio maana mnapigwa za uso na wajasiliadini.Nchi ina watu wa hovyo sana! Dr Ishengoma na usomi wake anaamini Morogoro ni jiji kweli? Huyu mama amewahi kuwa RC pwani na mhadhiri wa chuo!! Hizi ndo akili Africa tunazitumia kuamua kwa niaba yetu!!! Hovyo sana!
Mbeya na Tanga ni vigezo Gani vilitumika vikawa JIJI?Rais wa JMT amekataa ombi la kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro Kuwa Jiji kama ambavyo mamlaka zimekuwa zikiomba akisema Morogoro Bado sana kufikia hadhi hiyo na kuwataka watimize wajibu wao.
Kahama inatakiwa ijitenge na Shinyanga ijitegemee iwe mkoa maana kahama inaibeba sana Shinyanga lakini SHY haibebekiMorogoro Bado kuwa jiji.
Nadhani Bora hata kahama(Shinyanga)
Inaibebaje?Kahama inatakiwa ijitenge na Shinyanga ijitegemee iwe mkoa maana kahama inaibeba sana Shinyanga lakini SHY haibebeki
Mapato yao Kwa kanuni za wakati uleMbeya na Tanga ni vigezo Gani vilitumika vikawa JIJI????
Kabiiiiiiiiiisa lo
Tusamehe mwobaji mwenyewe viti maaLumHaiwezekani Yaani Dodoma, Morogoro Dar Es Salaam, Tanga
Majiji Yajipange Kama Uyoga Haa
Kahama Kuna kipi Cha kuizidi Morogoro?Morogoro Bado kuwa jiji.
Nadhani Bora hata kahama(Shinyanga)