Rais Samia, makandarasi tunakupa Big Up!

Chimba ujue kwa nini wale makandarasi waliondolewa kinyume na sheria, eti hawatakiwi DSM.
Waliombwa rushwa na hawakutoa, mmoja aliombwa 200m na kiongozi mkoani.
Sasa nyie mazwazwa hamjui hata kandarasi zinaeneshwaje.
Mkandarasi akikosea kazi ANAIRUDIA kulingana na mkataba.

Hao makandarasi vile vile waliingia siasa.
Wakaipata.

Sio kweli hakuna mkandarasi aliombwa rushwa akakataa kwanini asiende TAKUKURU badala yake akangoja asimamishwe baada ya kugundulika kuwa kazi zake ni substandard? Hao makandarasi tunawajua na michongo yao kwani tumeishi nao toka wanaanza hizo kazi na jinsi walivyotajirika na kujenga majumba !! Tunawajua sio kana kwamba tunawasingizia ni wapigaji lakini hamjui kuwa mnawaumiza walipa kodi kwa utapeli wenu halafu mnakwenda kutangaza ufalme bar!!

Kwanini mkandarasi makini arudie kazi yake; huo ndio ubabaishaji wenyewe tunaousema, watu wanapewa tenda za kujenga huku hawana vifaa wala utaalam!!
 
Kwani walionyang'anywa na Makonda uliwasikia wakienda TAKUKURU?
Watu mnabisha kwa sababu midomo haika kazi nyingine.
Jaribu kusoma Standard Conditions of Contract ujiridhishe na ninachokueleza.
 
Mnamsingizia Makonda kwavile hayuko madarakani; kwanini msiseme wakati ule kuwa nyie macontractor wazawa mnaombwa rushwa ndio maana mnafungiwa? Ukiona mtu anaogopa kwenda kushitaki anapodhurumiwa ujue ni mhalifu; mtu mwenye mali halali hawezi kukubali kuonewa!!
Hizo standard conditions of contracts zipo toka enzi za NUHU lakini mnazinajisi nyie matapeli!!
 
Makonda kirahisi amekuwa tajiri mkubwa.
Tunaisubiri kesi aliyofunguliwa , tutafumbuliwa mengi.
Ukweli utakuweka huru.
 
Mtu mzima unaamini kuwa Makonda atafanywa kama Sabaya? Sio rahisi, itachukua muda sana kumtia hatiani ili hali alikosekana akiwa madarakani huku nje itakuwa taabu!!
 
Hujatoa mifano iliyoenda shule juu ya failures za miradi ya wazalendo.
Mimi nimekupa miradi DMDP iliyofeli ya wachina barabara za Kariakoo.
Barabara hazina hata miaka mitatu.

Umekomalia non issues licha ya kuambiwa uozo wa Makonda.

Wachina walio jenga barabara hizo za Kariakoo wapo nanyi mnawakenulia meno kama hamna akili nzuri.
 
Wakandarasi wazawa Wengi wanajenga hovyo...pita barabara za Kigoma na uvinza rafu road,,mnalipua Mpaka aibu.. Uvinza katavi,,mnakwangua kwangua tuu,,ili mradi liende..kwa kweli Mimi siwakubari..hovyo Sana nyie
 
Kajenge wewe unayejua.
 
Umekomalia non issues licha ya kuambiwa uozo wa Makonda.

Unasema hizo ni non issues kwasababu na wewe ni mdau wa hayo mazaga zaga yenu!!

Kama hao Wachina unasema hizo bara bara hawakujenga vizuri, je hiyo ndio justification ya nyinyi pia msijenge vizuri!! If anything nyinyi macontractor wazawa ndio mnatakiwa kuwa na uchungu wa nchi na ndugu zenu kwa jinsi wanavyokamuliwa na hizo kodi ili kuwalipa kwa kazi zisizokuwa na viwango!
 
Back
Top Bottom