Ubunifu au kujikomba komba fcNimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.
Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona
Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916
Hilo limewekwa kwasababu ni siku ya uzinduzi wa hilo jengo, na usiwe na hofu litaondolewa, maana hapo ni mahala pa kuweka mabango ya matangazoNimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.
Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona
Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916
Kuwa nalo yapo manufaa Kwa benk au no Yale mambo ya mapambio🤔Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.
Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona
Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916
Hata courtesy huna, kuutumia msamiati wa "Nani kama Mama" niliouleta hapa bila hata acknowledgement??Nani kama mama
mm niliuona huu kwenye nguo ya mama yanguHata courtesy huna, kuutumia msamiati wa "Nani kama Mama" niliouleta hapa bila hata acknowledgement??
Haswaaaa.mm niliuona huu kwenye nguo ya mama yangu
Kichaa wenu mnalazmisha akubalike lakin ng'oooooNimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.
Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona
Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916