ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎ
Anaetaka kuongezewa mshahara ahamie Burundi.Hataki kuongeza mishahara na kupandisha madaraja wafanyakazi, hapo hapo anataka akamue tozo kila eneo, hii Tanganyika inahitaji kuongozwa na watanganyika wenyewe. Tusipotezeane uelekeo, tunahitaji katiba mpya sasa.
ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎ
Tumeshachaguliwa na nchi ya kwenda, waliokuwa wanajitapa kwamba watadandia ndege ya biden kwenda marekani watajikuta wametupwa hapo bujumbura...Anaetaka kuongezewa mshahara ahamie Burundi.
CCM mbele kwa Mbele..!
Hicho chuo kimeifikisha hapa Tanzania.Mkuu huu ushaur ungeuandik kwa wanaomshaur dodoma pale ... Naona first class z Udsm zinaporomosh maumiv ya first grade kw wanyonge [emoji28]
Mkuu,mmeshaambiwa maisha yakiwashinda mhamie BurundiMama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea?
Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi.
Mama Samia mbona hakuna aliyekataa kulipa Kodi?
Ndani ya miezi minne kufanya haya mabadiliko makubwa hivi huoni ni kama unatutesa sana?
Hebu tuambie Hawa watangulizi wako mbona walijenga nchi bila hizi tozo?
Mama Samia mboma JK alijenga shule za kata nchi nzima bila kuongeza tozo?
JK alijenga barabara kuunganisha mikoa yote bila tozo hizi
Mbona Magufuli kajenga hizo hospital bila tozo?
Mbona Magufuli kajenga hayo madaraja na flyover bila hizi tozo?
Leo hii kila kitu kimepanda bei hadi nyama buchani imepanda
Mama ni kwamba hujui Watanzania walio wengi wana maisha duni sana?
Watanzania wengi wanategemea kilimo huko napo mbolea imeongezeka Bei Mara mbili.
Swali langu mama mbona ni muda mfupi sana haya mabadiliko ya maisha?
Tanzania imeendelea kwenye nini Tangu Kodi zianze kutolewa tangu Uhuru?Tuendelee kulipa kodi kwa maendeleo ya Nchi yetu