Rais Samia: Kwa wale mliokuwa na mashaka, mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Tanzania? Nataka niwaambie aliesimama hapa ni Rais wa JMT

mzigo wa kutoa "MAAMUZI SAHIHI'
kwa wakati sahihi.
Nitakupa mfano japo sijapendaa kuutoa huu mfano.
Unakumbuka ben saa nane alipokuwa anahoji elimu ya mtu fulani kilimpata nini?.
Unakumbuka lisu alivyokuwa anatoa vitisho kuwa tutashtakiwa MIGA kilimkuta nini?
Azory gwanda,mawazo n.k n.k.
Sijapenda kutoa hii mifano ila imebidi.
"NDO MAANA NASEMA HILO NI ZIGO"
Kwani kuna lazima gani ya kutengeneza na kubeba "ZIGO" la kinyesi linalokupaka harufu kila uendako!

Unajitwisha zigo la hiari, utamlalamikia nani.
 
You're right kwamba umenukuu vilivyo; lakini siyo sahihi kila wakati. Sometimes you MUST remind people who you really are. People are so forgetful, you know.


Kama hizi kauli ndio mwanzo..., binafsi naona mwanzo huu sio mzuri.....

Any Man (Woman in this Case)..., Who has to Say am the King...., He is no true King....
Tywin Lannister
 
Objectively, kwa hotuba adhimu, adimu & murua ya Rais Samia, ni wazi & bayana isiyokuwa na chembe ya mashaka kwamba kipenzi chetu JPM wala hajafa ila tu amelala, amepumzika -- as it were, ^yuko bado angali ofisini akichapa kazi!^
 
Someone rightly said: He worked very hard, day and night, very tirelessly as though he knew he did not have much time.

Utaumia na njaa bure siku 40, JPM alishamaliza kilichobaki ni unyapara mdogo mdogo tu na kukabiziwa mradi, sema mama akamilishe kazi za JPM na aanze project zake mpya
 
Tanzania usipokuwa mkali kama JPM alivyokuwa, tena kwa wadhifa ule, huwezi kufanya lolote.

Kama hizi kauli ndio mwanzo..., binafsi naona mwanzo huu sio mzuri.....

Any Man (Woman in this Case)..., Who has to Say am the King...., He is no true King....
Tywin Lannister
 
Unamaanisha Rais Samia alikuwa UPINZANI wakati akiwa MR wa JPM, au siyo!??? Pole sana kama hujui kwamba hawa walikuwa ^alike deep-in-love^ kwa nchi yetu!!!

Mama nina hakika kila jicho linamuangalia na kuna majicho aina mbili zuri na baya pia akitaka kufanya kazi vzr afukuze wote watu wa mzee kuanzia vyombo vya ulinzi na maamuzi kwani wengi walipo ni wafwasi wa mzee so itakapo onekana anaenda tofauti na mzee wataanza kuleta ukizani ktk kazi au majukumu

Bahati mbaya sana mama hana watu royal kwake coz haijawai kutokea makamu Tanzania akawa rais zaidi ya kustaafu na Boss wake ,so makamu inakuwa ngumu kutengeneza watu royal kwake zaidi ya kuambatana na watu royal wa Boss wake na kama watapatikana watu royal kwa mama itakuwa si royal kweli itakuw ni watu wanaojipendekeza tu aidha kupata vyeo au kuwa karibu na mama .
 
If that is true, japo siamini, imesaidia kujua nani ni nani, nani amesimama wapi.

Wapo waliosimama kidete kupinga na ndiyo kuchelewesha kutangaza msiba. Libariki Jeshi la Nchi hii. Walitaka wasimike wa kwao. Nchi ya Katiba hii na utafuatwa mpaka mshike adabu mbadilishe. Na ninajua fika nguvu kubwa itakuwa kubadili katiba hasa kipengele la automatic kurithi Urais maana kimewachanganya mno safari hii. Kujichanganya wenye hila zao. Piga kazi mama tuko nyuma yako. Wewe ndiyo Rais sema hukutakiwa kusema hili leo mbele ya wageni. Ungekuja kulichomeka kwenye hotuba yako Bungeni. Ila hakuna tabu umeekeweka.
 
Isijekuwa mpiga-picha --- yaani, mleta-maoni --- ndiye mwenye dharau kwa Rais SH, sasa dots zinaunganikia kwa watu wengine akidhani nao wako kama yeye --- si unajua akili tena ilivyo, kwamba mlevi hudhani wooote wamelewa kama yeye!???

Kwamba Tulia alambwe mboko kumi hadharani kwa kumuangalia rais kwa mazereu😀😀😀😀
 
Polepole kila mtu anayefuatilia siasa za nchi hii anamjua. Huyo doroth gwajima tangu ateuliwa amekuwa ni mtu wa vituko na maigizo yasiyo na kichwa wala miguu, sijui bado anaendelea na nyungu
Labda sikumuelewa lakini aliwatumia hawa wawili figuratively...

Maana dynasty ya hereditary leadership (elite families) ilipunguzwa sana awamu ya tano. Na hii iliumiza sana watu na royal families za Tanzania - so to speak.
 
Back
Top Bottom