Rais Samia: Kwa wale mliokuwa na mashaka, mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Tanzania? Nataka niwaambie aliesimama hapa ni Rais wa JMT

Wakati wa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza kwa mihula yote miwili walishangiria, walijielekeza kwenye ushabiki na kusahau katiba inasemaje, na mbaya zaidi walisahau kwamba hayati Magufuli ni binadamu lolote linaweza kutokea. Sasa limetokea lililo tokea, na katiba imefanya kazi yake wanaanza kutafutana. Kwa sasa wamesha chelewa maana mama amesha hapishwa na katiba inamtambua kama rais wa JMT na muda si mrefu uenyekiti wa genge lao utamuhusu. Kilicho baki kwao nikuingia mjengoni na kupiga kura za kutokuwa na imani nae (kama wataweza). Na wakilifanya hilo ndio itakuwa mwanzo wa kugawana fito. Hala hala muacheni mama amalize muhula wake halafu huko mbele ya safari mtapanga makubaliano mengine.
Hapo kwenye BUNGE kupiga kura ya MAONI hawata weza,
ATAWAHI KULIVUNJA BUNGE.....
 
Any man who must say, "I am the king" is no true king:Tywin Lannister
 
Kazi ya Urais sio nyepesi kama mnavyodhani. Kuanzia Nyerere, mpaka huyu aliekufa hawawezi kukosa damu mikononi mwao.Huyo Kikwete mnaeaema alikuwa muungwana,tukiachana na uuaji alimfanya nini Babu sea?
Halafu jiwe kamuachia Babu seya.
 
Back
Top Bottom