Rais Samia kuziba masikio?

Amedanganywa kadanganyika na kujifika bomu mwenyewe hapo busara ni kukaa kimya na baadae kuufuta huo mkataba wa hovyo.
Samia amepanick anahamishia familia yake uarabuni!!!
 

Tanzania n zanzibar zatlina saizi mkataba wa madini
 
ACHA undumilakuwili wewe,kama haufanyi makusudi Tena kwa visent vya kuhongwa kuutetea huu ujinga unao itwa mkataba wa bandari basi akili zako ni afadhali za kuku
Aliyehongwa ni yule wakili Mwabukusi anayetumia nguvu kubwa kuwakashifu mawaziri ili eti wakasirike na kufanya maamuzi ya jazba!, mpuuzi kweli kweli huyo wakili.

Anatazamwa tu kama mjinga fulani hivi.
 
Waarabu wa DP world ndio waliokuambia wanakuja kununua korosho?
Connections za biashara naongelea, ukiwa ni mtu wa karibu na kinachofanyika pale bandarini huwezi kuuliza maswali ya kitoto namna hii.

Na hili ni tatizo letu kitaifa, wanaoponda uwekezaji pale TPA hawana biashara yoyote na masuala mazima ya bandari.
 
Connections za biashara naongelea, ukiwa ni mtu wa karibu na kinachofanyika pale bandarini huwezi kuuliza maswali ya kitoto namna hii.

Na hili ni tatizo letu kitaifa, wanaoponda uwekezaji pale TPA hawana biashara yoyote na masuala mazima ya bandari.
Mkataba unasema uwekezaji kwenye bandari wewe unazungumzia korosho
 
Wanasiasa ni wanafiki wanatafuta millage tu Hila swala la bandari limeingiliwa na wanasiasa watafuta umaarufu na kasababisha kuonekana Lina chembechembe za udini na ubaguzi
Na wanaoleta udini ndio waligawa bandari zetu Bure kabisa
 
Yote aliyogusa ndio aliharibu zaidi.
Sukari aliharibu
Korosho aliharibu
MAKANIKIA aliharibu nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…