Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa awali na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, sherehe hizo zitafanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), kuanzia saa 9:00 alasiri