Rais Samia, kurudisha watu uliowachafua wewe na Mwendazake bila kuwasafisha haikubariki

Kimtokacho mtu kimo ndani yake.

Wewe ni SHOGA . Jadili hoja badala ya kukimbilia matusi. Nahodha wa kazi gani ?! Wakati wasomi wamejaa kitaa na kazi hawana !!
Ndugu zangu nikuombe wew na mwenzako, mnaniomba radhi, lakini pia muombe radhi mkurugenzi wa JF na na watendaji wa jf mm namwacha mke wangu amelala kitandani nasogea pembeni naandika andiko zuri nyinyi mnatumia kama sehemu ya kutukanana hivi hamuoni aibu kweli watu wazima mnakuwa hivi kweli?

Moderetor tafadhali shughulikeni Ili jambo
 
Ni wakati muafaka kwa Serikali kuandae kanzi data ya vijana wenye Elimu ya vyuo vikuu wenye ufaulu wa upper second na first class
-waandaliwe Kwenye masuala ya menejimenti na uongozi katika fani mbalimbali.
-Mwalimu Nyerere,wakati tunàpata Uhuru, Tanzania haikuwa na wasomi wengi,kwa hiyo alikuwa na changamoto ya kufanya uteuzi wa wasaidizi wake.
-Miaka 60 ya Uhuru, Tanzania ina vijana wengi , kwenye fani mbalimbali,
- wanahitaji kuandaliwa( kidogo ) kwenye masuala ya menejimenti na uongozi(Management trainee) kwenye nyanja mbalimbali.
-Mamlaka ya uteuzi,haina changamoto ya kupata watu sahihi wa kuongoza taasisi na idara mbalimbali za Serikali.
-Utaratibu wa kuwarejesha watendaji au viongozi walioachishwa au waliostaafu ni ishara kuwa hatuna mipango endelevu( succession plan).
-Serikali ianzishe kanzi Data ya vijana wenye vipaji ili kurahisisha mchakato wa uteuzi wa viongozi (wakuu wa mikoa, wilaya,wakarugenzi wa Halmashauri za wilaya na Manispaa,afisa Tawala, wakuu wa idara na vitengo mbalimbali Serikali).
-Mamlaka zinazohusika ziwe zimewafutilia mienendo yao, kuepuka kuteua watu ambao jamii,inawajua ndani na nje, kuwa siyo wasafi.
 
Mh Rais popote ulipo, nina tumahi majira haya ya saa kumi utakuwa umelala, basi nikupongeze, maana wewe ulishakili hadharani yakuwa hulali na mafaili kitandani kwako, unayasogeza kwa wasaidizi wako ili upate kulala.

Wakati ukiwa umelala mama sisi wanao tu macho tunatafakari mengi yanayozidi kujitokeza katika Taifa letu hasa tunapoelekea kuazimisha mwaka mmoja pasipo kuwa na jemedari mwamba wa Kanda ya Ziwa yaani yule bwana mwendazake.

Tafakari yetu ni nzito, sanaa inatuonesha jinsi ambavyo Taifa linaitaji tiba ya mwenendo wa matendo mazuri na mabaya ya viongozi wetu wakuu (katiba mpya).

Tafakari yetu inatupa picha nyingi zaidi ya yote inatupatia mwanga kumbe nchi yetu ina nafasi ambazo watu wanakula na kusaza peupe lakini hawakufaa kula wakiwa hapo waliko pengine wangelia kwingine.

Mh Rais nina jiwa na wasiwasi kama kila matendo yako una mshirikisha Makamu wa Rais wako barabara kwa kila hatua au wewe unakaa na Katibu Mkuu Kiongozi na kuamua na kutenda tu?

Natafakari kama humshirikishi ikitokea nawe ukamfata mwenzake nae ataanza kuhakikisha madodoki uliyoyanunua wewe ukasugulia USO na mwili mzima ukang'aa na ukayaona yamechakaa ukayatupa chooni naye anaweza kuja na kubomoa choo na kuyatoa humo kuanza kujisugilia pasipo hata kuyasafisha?

Mh Rais, najua unapenda kusikiliza music uliwahi kudai hivyo tena ukasema unapenda sana kusikiliza taarabu, naomba wakati unasoma uzi huu burudika na kawimbo ka "KINYAGO Cha MPAPURE" lakini kakiisha hako burudika na wimbo mpya kabisa wa Diamond unaitwa "NAWAZA".

KINYAGO Cha MPAPURE, ukiimaliza sikiliza NAWAZA, kisha waza kama aliyekuteua kuwa Makamu wa Rais angeweza rudi sasa na kukuta unavyofanya angefanya nini?

Mh Rais nchi ya Tanzania imebahatika kuwa na wasomi wengi, tena niamini wapo ambao wanakupita mpaka wewe lakini uwezi amini wapo walio vijiweni kabisa na walisomeshwa na kodi za umma wa Tanzania nahitaji kujua mtu ambaye wewe ulishiriki kutumbuliwa kwake iweje leo umrudishe kwenye madaraka pasipo kuwaambia Watanzania dodoki lililochafuka limekuwaje safi leo?

Mh Rais mtu ameisha kuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar na anakula pensheni mpaka afe, leo unamteua kuja kuwa mbunge wa kawaida au hata ukimpa Uwaziri kesho kweli inakuja?Zanzibari ni yeye tu hakunaga wengine? Yani mtu ashakuwa Waziri Mkuu Zenji, leo anakuja kuwa mbunge wa kuteuliwa najiuliza hiyo nafasi mlimpaga ili iweje huko? alivyokula akiwa hapo hakutosheka?

"Mh Rais haka kawimbo ka "Nawaza" kanyimbo kamejaa sauti ya kimahaba ila kana ujumbe mkubwa sana, hivi for building a good future politics ni vizur ukawa na Nape Nnauye, January Makamba na Mwigulu Nchemba kwenye baraza la mawaziri na uwe na Polepole akiwa Balozi? Na sio bungeni Ili apate wafunga paka kengere? Usitudanganye tulishamwona alisha jitanabaisha yakuwa atapambana nao, kama wewe wamwogopa ungemwacha bungeni ili awafunge paka kengere na tulishomwa alishaanza, umemtoa yeye unamweka Shamsha Vuai Nahodha Mzee wa rojorojo yani ni bora ungemteua hata mwanao wa kike aje Bara lakini nahodha alishachoka siasa za Bara haziwezi tena.

KINYAGO Cha MPAPURE" wimbo una maneno ule, unaogopa nini kwa dodoki ulilonunua mwenyewe likusugue mpaka upauke USO mzima? Wakiogopa Nini KINYAGO ulichokichonga wewe na mwendazake? (Polepole mpaka umtupe nje ya nchi Ili umfunge midomo vizuri, watoto wa mjini ambae yeye aliwaita WAHUNI wajipigie " UZURI" mchezo huu mliufanya kwa Emmanuel Nchimbi hatimae amerudi amechakaa nywele za mvi mpaka kwenye pua kisa alipiga kupitishwa kwa mwendazake kuwa Rais.

Mh Rais, katibu mkuu wako kiongozi ni mwana mwema ila anatakiwa kutambua yakuwa wewe nae hamko hapo kurudisha madodoki uliyoyachafua wewe na mwendazake.

Nchi ya Tanzania ni mali yetu sote waliokwisha kula walale ambao hawajakula nao wale.
Hii ni Awamu ya Sita, lazima mambo yabadilike
 
Ni wakati muafaka kwa Serikali kuandae kanzi data ya vijana wenye Elimu ya vyuo vikuu wenye ufaulu wa upper second na first class
-waandaliwe Kwenye masuala ya menejimenti na uongozi katika fani mbalimbali.
-Mwalimu Nyerere,wakati tunàpata Uhuru, Tanzania haikuwa na wasomi wengi,kwa hiyo alikuwa na changamoto ya kufanya uteuzi wa wasaidizi wake.
-Miaka 60 ya Uhuru, Tanzania ina vijana wengi , kwenye fani mbalimbali,
- wanahitaji kuandaliwa( kidogo ) kwenye masuala ya menejimenti na uongozi(Management trainee) kwenye nyanja mbalimbali.
-Mamlaka ya uteuzi,haina changamoto ya kupata watu sahihi wa kuongoza taasisi na idara mbalimbali za Serikali.
-Utaratibu wa kuwarejesha watendaji au viongozi walioachishwa au waliostaafu ni ishara kuwa hatuna mipango endelevu( succession plan).
-Serikali ianzishe kanzi Data ya vijana wenye vipaji ili kurahisisha mchakato wa uteuzi wa viongozi (wakuu wa mikoa, wilaya,wakarugenzi wa Halmashauri za wilaya na Manispaa,afisa Tawala, wakuu wa idara na vitengo mbalimbali Serikali).
-Mamlaka zinazohusika ziwe zimewafutilia mienendo yao, kuepuka kuteua watu ambao jamii,inawajua ndani na nje, kuwa siyo wasafi.
Nani kakwambia kuwa na upper second au first class ndo kuwa kiongozi bora?
 
Unajulikana suku gang!

Madodoki yaliyochafuka ndo nini?

Kama mpuuzi wenu aliondoa watu kwa chuki na roho mbaya mnataka Samia aendelee na huo ujinga?

Nakushauri jiandae tu kumuombea yule mpuuzi wenu aliyeongoza kwa chuki na roho mbaya iyo tarehe 17 maana maisha yake yalijaa ufedhuli mtupu
Ndugu mim kiasilia ni mtu wa Kanda ya ziwa hata, Magufuli hakuwa na chuki watu walikuwa Wezi .
 
Unajulikana suku gang!

Madodoki yaliyochafuka ndo nini?

Kama mpuuzi wenu aliondoa watu kwa chuki na roho mbaya mnataka Samia aendelee na huo ujinga?

Nakushauri jiandae tu kumuombea yule mpuuzi wenu aliyeongoza kwa chuki na roho mbaya iyo tarehe 17 maana maisha yake yalijaa ufedhuli mtupu
Kuwa na adabu uwezi kumuita Raisi wa nchi mpuuzi Mbwa Koko wewe.
 
Upuuz Sana usiwaze San babu tunachezewa na viongozi wa juu na vioja vyao

Umemtoa lukuvi ukamrudisha mtu ambae alichunguzwa kwa tuhuma za ufisadi
 
Hao watu walitolewa kwa hila na chuki, ma file yao yako clean ndiyo maana wanarudishwa. Usichokijua ni kwamba haujui
 
Hii nchi yetu watu wanahitaji tiba ya kisaikolojia Maana hatujuwi wanataka waongozwe na akina nani?.Ili waache kulalamika Mama kashasema anataka afanye kazi na watu ambao anaona naweza fanya nao kazi vizuri hata ungekuwa wewe ungefanya ivoivo.Hao wa mwendazake hawauziki kwa sasa maana
1) waliifunga nchi na sasa nchi inafunguliwa au wewe hupendi nchi ifunguliwe
2)Askofu wangu Ruachi wakati akiadhimisha musa ya marehemu JPM alisema nchi sasa inapumua maana waliokuwepo waliziba pua za nchi na watu wakakosa hewa Je? Wewe hupendi hewa safi ya nchi unataka tukumbatie waziba hewa ya nchi?
3)miaka mitano iliyopita kanisa au taasisi za dini ziliteseka sana na chumi zao zikaporomoka,sasa unataka tuendelee na wale wenye itikadi za kukandamiza taasisi za dini?.unataka kutupa machungu ya nyuma Ili watu washindwe kumtumikia Mungu?
4)Humu jamii forum kila siku mnalalamika kuwa JPM alikuwa muuwaji na mtu katili sana. Mama anaweka watu waungwana kama yeye aponye majereha ya wananchiJe? Ulitaka aendelee kuweka kizazi cha watu katili na wauwaji?
5)miaka mitano iliyopita hela mtaani zilipotea tukaishi kwa mateso,sasa mama anaweka watu ambao watatusaidia tupate hela kwa urahisi watu wale pata
Mimi binafsi mama naona anaupiga mwingi sanaa na soon maisha yatakuwa poa kama awamu ya nne,watu tule bata tuwe kujenga vibanda hata vya kuishi.malalamiko ya nini? .Mungu alishatujibu maombi yetu ya awali mwache mama apange safu yake nzuri watu tupumue
Ndugu wakati wa jakaya ulijenga vibanda vigapi?ulikula Bata zaina aina gani au ni zile za wakina baba msofe? Nchi ilifungwa na nani? Sikatai kuweka watu naungana n uwekwaji watu ILa atubadilishie sura tunazo sura za kipigaji tunazijua za in Sasa nchi Ina watu zaidi ya milioni 60 sio lazima ziwe zilee zile.anaporudisha sura zile zile ni kumdhiaki mwendazake wakati yeye alikuwa ni Makamu wake tafusiri yake ni ipi?Kila siku tunawaona watendaji hao walimpiga porojo tu umeme hakuna,
 
Kwa ukweli mambo mengine yanashangaza ukiacha kuudhi. Kweli wapo vijana wasomi na hata kazi hawana. Unaenda kuokota mtu kama Nahodha , Mangu na hata Polepole .

Najiuliza au ikulu haina data na wasomi wapya ?! Au pensheni haitoshi. Na hata kama haitoshi hawa wapya watajulikana lini ?! Kwa kweli mfumo uliomo ndani ya ccm na ikulu haina budi kufumuliwa kama si kuachwa. Nchi hii haiwezi kuwa na jipya kwa mtindo huu.
Na mkome!

Yule mwingine mlisema anawatoa anaweka wa kwake sababu ya ukabila

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mama amesifiwa na sasa ameanza rasmi kulewa sifa.

Mwisho hautakuwa mzuri kwake.

CCM inazidi kuporomoka kwa maoni ya watanzania walio wengi.

Asipoangalia itamfia mikononi mwake huku akitimkia kwao Zanzibar kula Pensheni.
 
Duuh!
Kwa kweli hapa kwa Nahodha mama amechemka haswaa🙄
Ni bora angempa hata ubalozi nje huko.Ila kumteua kuwa mbunge nikumshushia hadhi Fulani kama Waziri kiongozi mstaafu.
Kelele za Chakubanga zilikuwa zinaneutral uchawa Fulani,wangemwacha tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom