BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 328
- 414
Wewe ndiye mjinga kwakuwa hata tarehe ya kikao huijui ilihali imeandikwa kwenye bango.Naanza kuamini Utafiti wa Kisayansi uliofanywa na shirika la Twaweza na kubaini kuwa CCM inaungwa mkono na wanachama wengi wajinga. Kikao chao pia kinaketi Tarehe 1 April ambayo ndiyo siku ya Wajinga Duniani. Sidhani Kama hii imetokea kwa bahati mbaya.
Maendeleo hayana Vyama.
Rais analalamika kwamba viongozi hawana uwezo lakini anaogopa kuwafuta kazi.Nafikiri hii ni forum nzuri kwa viongozi wetu wa chama kujitafakari kwa nini asilimia 93 ya watanzania wameMmiss Magufuli.
Watu wanataka viongozi wawajibikaji, wachapakazi, wenye uchungu na mali za umma na wanaojali wanyonge wanaotafuta rizki zao kwa shida aina hii ya kiongozi waliipata kwa Magufuli.
Leo upigaji na manyanyaso yamerudi kila kona mpaka wauza unga wanatamba mtaani.
Hatutapata tena Rais wa aina ya JPM kwa kuwa sie ni Wajinga tulishindwa kuienzi na kuitunza 'Lulu' ile ambayo tuliipata kwa bahati mbaya tu kutokana na 'ugomvi wa majambazi'Nafikiri hii ni forum nzuri kwa viongozi wetu wa chama kujitafakari kwa nini asilimia 93 ya watanzania wameMmiss Magufuli.
Watu wanataka viongozi wawajibikaji, wachapakazi, wenye uchungu na mali za umma na wanaojali wanyonge wanaotafuta rizki zao kwa shida aina hii ya kiongozi waliipata kwa Magufuli.
Leo upigaji na manyanyaso yamerudi kila kona mpaka wauza unga wanatamba mtaani.
Akina Mangula na Sheni wao mbona hawataki kujiajiri? nimeanza kuwasikia miaka ya 2005 mpaka leo jamani na hapo kabla walikuwepo snMWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KESHO.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan ataongoza kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, tarehe 31 Machi 2022 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa White House.
View attachment 2169821
View attachment 2169822
Mfuate yupo Shato ni rahisi tu kumuona sahiviHatutapata tena Rais wa aina ya JPM kwa kuwa sie ni Wajinga tulishindwa kuienzi na kuitunza 'Lulu' ile ambayo tuliipata kwa bahati mbaya tu kutokana na 'ugomvi wa majambazi'
Kwa jinsi alivyopata shida JPM kutupigania huku akikosa support ya waliopaswa kum support hakuna Rais atakaejaribu kuwa kama JPM…atakuwa anajisema 'cha kufia nini…'
Yeye ana uwezo?Rais analalamika kwamba viongozi hawana uwezo lakini anaogopa kuwafuta kazi.
Kama mtu hana uwezo muondoe weka mwingine.
Kwenye mfumoko wa bei na mafuta kweli mimi sina hamu tena na hawa viongozi kutwa wanatafuta visingizioNafikiri hii ni forum nzuri kwa viongozi wetu wa chama kujitafakari kwa nini asilimia 93 ya watanzania wameMmiss Magufuli.
Watu wanataka viongozi wawajibikaji, wachapakazi, wenye uchungu na mali za umma na wanaojali wanyonge wanaotafuta rizki zao kwa shida aina hii ya kiongozi waliipata kwa Magufuli.
Leo upigaji na manyanyaso yamerudi kila kona mpaka wauza unga wanatamba mtaani.
Kama umeanza kuwasikia miaka hiyo basi utakuwa umezaliwa miaka ya 2000 mwanzoni sanaAkina Mangula na Sheni wao mbona hawataki kujiajiri? nimeanza kuwasikia miaka ya 2005 mpaka leo jamani na hapo kabla walikuwepo sn
Kusema kweli mwamba alijitoa sana alipambana kuhakikisha maisha ya watanzania yanaborekaHatutapata tena Rais wa aina ya JPM kwa kuwa sie ni Wajinga tulishindwa kuienzi na kuitunza 'Lulu' ile ambayo tuliipata kwa bahati mbaya tu kutokana na 'ugomvi wa majambazi'
Kwa jinsi alivyopata shida JPM kutupigania huku akikosa support ya waliopaswa kum support hakuna Rais atakaejaribu kuwa kama JPM…atakuwa anajisema 'cha kufia nini…'
Wavivu na wanaotaka kufanyiwa kila kitu na Serekali. Wanyonge na Wenye husuda.Nafikiri hii ni forum nzuri kwa viongozi wetu wa chama kujitafakari kwa nini asilimia 93 ya watanzania wameMmiss Magufuli.
Watu wanataka viongozi wawajibikaji, wachapakazi, wenye uchungu na mali za umma na wanaojali wanyonge wanaotafuta rizki zao kwa shida aina hii ya kiongozi waliipata kwa Magufuli.
Leo upigaji na manyanyaso yamerudi kila kona mpaka wauza unga wanatamba mtaani.
Umeongea na Mungu?Hatutapata tena Rais wa aina ya JPM kwa kuwa sie ni Wajinga tulishindwa kuienzi na kuitunza 'Lulu' ile ambayo tuliipata kwa bahati mbaya tu kutokana na 'ugomvi wa majambazi'
Kwa jinsi alivyopata shida JPM kutupigania huku akikosa support ya waliopaswa kum support hakuna Rais atakaejaribu kuwa kama JPM…atakuwa anajisema 'cha kufia nini…'
Umeongea na Mungu?
Kwa hiyo uwezekano wa kupata kiongozi mzuri kwa mapenzi na makusudi ya Mungu upoHapana Mkuu