Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,266
- 26,021
Itakuwa unashinda umejifungia chumbani kwako halafu unakuwa unaota ndoto zako za kitoto hapa. Rais Samia anakubalika Nchini ni haijapata kutokea katika Historia ya Taifa LetuUkizunguuka mitaani unaweza hisi labda hizi sifa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari anapewa kiongozi wa nchi nyingine.
Samia mtaani hakubaliki kabisa. Hali sio shwari, vitu vimepanda bei kusiko tegemewa. Kama kweli anaipenda nchi hii basi ni vyema akakaa pembeni kumpisha mtu mwingine aongoze nchi
Sisi makada anatupatia wakati mgumu sana kumpigia kampeni mwaka ujao. Yaani mambo yanabadilika kwa kasi sana, wananchi wamejaza vifua vyao na machungu mengi ya kupigika kimaisha, muda utaongea.Ukizunguuka mitaani unaweza hisi labda hizi sifa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari anapewa kiongozi wa nchi nyingine.
Samia mtaani hakubaliki kabisa. Hali sio shwari, vitu vimepanda bei kusiko tegemewa. Kama kweli anaipenda nchi hii basi ni vyema akakaa pembeni kumpisha mtu mwingine aongoze nchi
Wewe endelea kupambana kuiokoa CHADEMA yako inayoendelea kupoteza muelekeo kila uchao na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema.Sisi makada anatupatia wakati mgumu sana kumpigia kampeni mwaka ujao. Yaani mambo yanabadilika kwa kasi sana, wananchi wamejaza vifua vyao na machungu mengi ya kupigika kimaisha, muda utaongea.
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tuNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo kikuu jiji la Arusha.
Ambapo siku ya kesho Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma.
Ambapo leo hii baada ya kutoka Nchini kenya ametua kwa kishindo katika uwanja wa KIA na kupokelewa kwa mapokezi mazito na wakuu wawili wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.Ambapo katika Mapokezi hayo Alikuwepo pia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Ambaye alionekana kuwa mwenye tabasamu , unyenyekevu na mtulivu wakati wote wa mapokezi hayo ya Amiri Jeshi Mkuu wetu. ambaye ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani.lakini pia ndio kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi na bora Duniani Kwote katika kumuepusha mwanamke na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia ,ambayo yamekuwa na athari kubwa sana kiafya na kimazingira.
Kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri hotuba nzito na ya kusisimua itakayotolewa na Rais huyu Mwenye uhodari mkubwa wa kutoa hotuba kama ilivyo kwa akina Barack Obama au Michell Obama au Hillary Clinton wa Marekani. Rais huyu mwenye kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania anatua katika jiji la Arusha ikiwa ni siku chache tokea atoe maagizo mazito sana yaliyo itetemesha Arusha na kanda ya kaskazini.
baada ya kutoa maagizo yaliyomaliza mgomo na maandamano ya Wamasai na kuwaacha wakiwa wenye furaha na tabasamu huku wakiruka ruka juu kwa furaha na shangwe kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa usikivu wake,utu , uungwana na moyo wa upendo kwa watanzania wote.View attachment 3080817
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Safari ya kwenda nchi jirani pengine amepewa ushauri kuwa mambo mazito kama yaliyotokea katika kilima cha nyika za Ngorongoro, ni vizuri rais mwenyewe akajitosa mstari wa mbele kulibeba kama jinsi rais wa Jamhuri ya Kenya mheshimiwa Dr. William Samoe Ruto alivyokuwa mbele kukutana na GEN Z kupoza mambo yenye mwenyewe badala ya kutumia wawakilishi.Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Tatizo lako wewe bado mchanga sana ndani ya chama, niko CCM tangu 1995 nakuhakikishia yajayo yatawashangaza sana watu wa aina yako. Tunakwenda kuwa na vita ndani ya chama huku tukikabiliana na machungu ya wapiga kura, hali itakuwa si nzuri sana.Wewe endelea kupambana kuiokoa CHADEMA yako inayoendelea kupoteza muelekeo kila uchao na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema.
Wewe umeandika mtaani, ngoma nenda kutana na kuongea na wasaidizi wake wa chama chake na serikali ngazi ya chini kabisa huku mpaka ngazi ya juu kule anaokutana nao mara kwa mara, ndipo utajua hakubaliki kwa kiasi gani.Ukizunguuka mitaani unaweza hisi labda hizi sifa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari anapewa kiongozi wa nchi nyingine.
Samia mtaani hakubaliki kabisa. Hali sio shwari, vitu vimepanda bei kusiko tegemewa. Kama kweli anaipenda nchi hii basi ni vyema akakaa pembeni kumpisha mtu mwingine aongoze nchi
Nendeni Kenya,,, maana wapo kwenye nchi inayoongozwa na MamaWamasai hatumtaki kabisa huyu hata kumwona baada ya kuuza ardhi yetu Kwa wajomba wake
Kwanini unaonyesha ujinga wako kiasi hicho? Kwamba ukisoma hayo majina unaona yanafanana? Au wewe ndio umeingia humu jukwaani leo?Bado hamjasanuka kwamba Lucas Mwashambwa ndiye Jerson Msigwa naomba niwasanue sasa;
Itakuwa wewe ni mhamiaji haramu.Wamasai hatumtaki kabisa huyu hata kumwona baada ya kuuza ardhi yetu Kwa wajomba wake
CCM hatuna watu aina yako na wenye akili kama zako.Tatizo lako wewe bado mchanga sana ndani ya chama, niko CCM tangu 1995 nakuhakikishia yajayo yatawashangaza sana watu wa aina yako. Tunakwenda kuwa na vita ndani ya chama huku tukikabiliana na machungu ya wapiga kura, hali itakuwa si nzuri sana.
Mwanaume anapo kuwa na tabia za kike halafu anajifanya anapinga ushoga ππNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo kikuu jiji la Arusha.
Ambapo siku ya kesho Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma.
Ambapo leo hii baada ya kutoka Nchini kenya ametua kwa kishindo katika uwanja wa KIA na kupokelewa kwa mapokezi mazito na wakuu wawili wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.Ambapo katika Mapokezi hayo Alikuwepo pia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Ambaye alionekana kuwa mwenye tabasamu , unyenyekevu na mtulivu wakati wote wa mapokezi hayo ya Amiri Jeshi Mkuu wetu. ambaye ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani.lakini pia ndio kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi na bora Duniani Kwote katika kumuepusha mwanamke na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia ,ambayo yamekuwa na athari kubwa sana kiafya na kimazingira.
Kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri hotuba nzito na ya kusisimua itakayotolewa na Rais huyu Mwenye uhodari mkubwa wa kutoa hotuba kama ilivyo kwa akina Barack Obama au Michell Obama au Hillary Clinton wa Marekani. Rais huyu mwenye kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania anatua katika jiji la Arusha ikiwa ni siku chache tokea atoe maagizo mazito sana yaliyo itetemesha Arusha na kanda ya kaskazini.
baada ya kutoa maagizo yaliyomaliza mgomo na maandamano ya Wamasai na kuwaacha wakiwa wenye furaha na tabasamu huku wakiruka ruka juu kwa furaha na shangwe kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa usikivu wake,utu , uungwana na moyo wa upendo kwa watanzania wote.View attachment 3080817
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa ndio umeandika nini hapa? Au umelewa gongo?Mwanaume anapo kuwa na tabia za kike halafu anajifanya anapinga ushoga ππ