Rais Samia kuendeleza kwa kuwa wa kwanza...

Rais Samia kuendeleza kwa kuwa wa kwanza...

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,828
Reaction score
1,409
Mama Samia.
  • Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania.
  • Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili.
  • Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu.
  • Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini.
  • Rais wa kwanza kukataliwa na Watanzania waziwazi.
  • Atakuwa Rais wa kwanza kujiuzulu, kukimbia nchi au kupinduliwa.
  • Atakuwa Rais wa kwanza kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani.
 
Back
Top Bottom