Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,955
- 6,328
Hawatakubali asilani...mwamba alizuia mvua kote, wote tukapiga goti kuomba mvua, tukaanza kupendana, sasa mvua inanyesha kwa mafungu na maji hayatiririki kwenye mifereji, kuna wenye kuikinga yote iingie kwenye matanki yao.Mlikuwa mna maisha magumu ila sasa yatazidi mara 100 zaidi! Magufuli hajawahi kugusa life la mnyonge kwa makodi ya ajabu ajabu
Mwamba alianza kutiririsha maji kwenye mifereji kwa kukwepa wakingaji wa juu kwa juu, wakachukia kwamba wao hawawezi kufata maji miferejini na si sawa wanaofata miferejini kuyafurahia maji😀
Sasa mama anaupiga mwingi, kina balaboo na muro wanarudi, mateja wameaanza kuchomoza, risiti hakuna tena, uwoya kaanza kuchop money, muda si mrefu wadada wa kufunga mzigo China watafufuka n.k