Ahsante sana Mkuu....Unaakili sana mkuu mwiguilu alijua anamtetea mama kumbe ndo kamtumbukiza kwenye hayo makandokando
Ni sawa, lakini mtatumia nguvu sanaTupo na mama had 2030
ππππππHausegirl wangu anaakili kuliko samia wallah nakuhakikiahia ..samia anajua bado yeye ni PS wa mtu fulani kumbe ni raisi wa nchi yenye resilimali nyingi sana
We ndo hutoshi .mama Samia yupo vizuri wenye akili tunaona mazuri anayoyafanyaWewe mpuuzi tu! Unaonesha hasira zako kwa Magufuli badala ya kuusema ukweli wa Samia! Mara kichaa wa Chato! You are very stupid tunajadili report ya CAG wewe unajificha kwenye kichaka cha Magufuli huku bibi yenu nchi imemshinda mnaanza kumshauri ujinga!
Hiyo mifumo unayozungumzia itajiendesha yenyewe?
Mfumo hata kama ni mzuri vipi bila watendaji ni zero!
Wewe kubali tu mama Samia hatoshi haswa usikimbilie ya Magufuli!
Hata Wenje jana kasema Magufuli alivyokuwa mtendaji na mfatiliaji wa mambo!
Wewe mpuuzi na majizi wenzako mnaanza kumshauri ujinga Rais!
-- mazuri yapi??? Hamna kitu.We ndo hutoshi .mama Samia yupo vizuri wenye akili tunaona mazuri anayoyafanya
Anafanya kazi nzuri kwa kuwaambia wateule wanaotafuna nchi yetu watupishe? Nadhani anatakiwa kufanya zaidi na tena asingoje November eti report ya CAG ijadiliwe na bunge kwanza.Mama anafanya kazi nzuri sana, bigup kwake, angemongezea meno prime minister, mana usimamizi ni asili ya mwanaume.
Alifanya vizuri kuwaaminisha waTZ, kwa maneno, kuwa yeye ni mama yetu sote na hatakubali wachache kula keki ya wote peke yao. Sasa keki imeliwa sana na wachache tena wateule wake halafu anasema stupid watupishe, kanankwamba hawezi kuwaondoa. Tunahitaji katiba mpya.Kama hujui eneo analofanya vzur basi we ni kiazi
Ndio tusubiri mama yuko viziuri kwa kutapanya pesa za wananchi wakeWe ndo hutoshi .mama Samia yupo vizuri wenye akili tunaona mazuri anayoyafanya
Ya kukopa pesa ambazo zinaishia kwenye mifuko ya weziMama anafanya kazi nzuri sana, bigup kwake, angemongezea meno prime minister, mana usimamizi ni asili ya mwanaume.