Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,188
- 1,912
Awamu ya iliyopita kumefanyika ufisadi na wizi wa kiwango kikubwa sana, walichofanikiwa ni kuweka sheria kali na vitisho na mauaji ili watu wasiongee.Propaganda dhaifu kama hizi haziwezi kamwe kuwasahaulisha Watanzania ufisadi wa TZS 1.5 aliofanya Magufuli.
Ukichukua awamu zote nne za nyuma ukajumlisha ufisadi uliofanyika katika awamu hizo bado huwezi kupata ufisadi mkubwa kama huu.Ufisadi aliofanya Magufuli ulikuwa ni ufisadi wa karne.
View attachment 2033851View attachment 2033852View attachment 2033853View attachment 2033856
Mbona Yesu na Muhammad hamuwaachi wapumzike kwa amani,kila Jumapili na Ijumaa mnawataja na ikbidi kila siku.Kwanini hamtaki kumwacha Magufuli apumzike daily kumuanzishia nyuzi humu JF, si mtakuwa mnamfanya azunguke huko kaburini, you have to accept he is gone na Samia atakuwa Samia hawezi kuwa Magufuli kamwe.
Binti mbona unafoka?Kwanini hamtaki kumwacha Magufuli apumzike daily kumuanzishia nyuzi humu JF, si mtakuwa mnamfanya azunguke huko kaburini, you have to accept he is gone na Samia atakuwa Samia hawezi kuwa Magufuli kamwe.
Awamu zote tu wapinzani walikuwa wanatiwa virungu.Magufuli asifiwe kwa mazuri aliyofanya kama miradi yake mikubwa aliyotuachia, na utendaji kazi serikalini alirudisha uwajibikaji kwa kuondoa/kupunguza uzembe, simply alikuwa na "fear factor of a certain" kind ambayo somehow ilikuwa positive.
Lakini kwa suala la siasa ndani ya nchi yetu niseme kweli Magufuli ndio aliturudisha nyuma kabisa, hapa ndipo ambapo "fear factor" ya Magufuli ilitumika negatively.
Unavyosema aliwarudishia uwezo wa kuvaa sare zenu alifanya hivyo kwa njia zisizo halali, na sio kwa kukubalika kwenu kwa wananchi.
Chaguzi nyingi wakati wake wapinzani walikuwa wanapigwa, wanatekwa, wanauwawa, ili tu CCM yake itangazwe mshindi bila kupingwa, tofauti na unavyoonesha kwenye andiko lako kama vile mlikuwa mkishinda kihalali.
Unazungumzia siasa hizi laghai za kina chadomo na professor Lipumba wa CUF?Magufuli asifiwe kwa mazuri aliyofanya kama miradi yake mikubwa aliyotuachia, na utendaji kazi serikalini alirudisha uwajibikaji kwa kuondoa/kupunguza uzembe, simply alikuwa na "fear factor of a certain" kind ambayo somehow ilikuwa positive.
Lakini kwa suala la siasa ndani ya nchi yetu niseme kweli Magufuli ndio aliturudisha nyuma kabisa, hapa ndipo ambapo "fear factor" ya Magufuli ilitumika negatively.
Unavyosema aliwarudishia uwezo wa kuvaa sare zenu alifanya hivyo kwa njia zisizo halali, na sio kwa kukubalika kwenu kwa wananchi.
Chaguzi nyingi wakati wake wapinzani walikuwa wanapigwa, wanatekwa, wanauwawa, ili tu CCM yake itangazwe mshindi bila kupingwa, tofauti na unavyoonesha kwenye andiko lako kama vile mlikuwa mkishinda kihalali.
Huwa unaadika gazeti refu limejaa upumbavu tupu,hivi mangi huwa unalipwa senti ngapi kupropagate hizi manenoNi kama mnaona watanzania wote ni wajinga na hawana uwezo wa kutambua propaganda na ukweli. Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, bali kiongozi katili na muongo. Alichokuwa anakifanya yeye ni kudhibiti vyombo vya habari, na sauti zote za ukosoaji, huku akihakikisha wananchi wanalishwa tu kile akitakacho. Alitumia fedha nyingi kuwabrainwash wananchi, kwa kuhakikisha anatangazwa sana kwa sifa,na kila aliyekuwa anapata nafasi ya kuongea basi anamtaja yeye kwa kumsifia. Hali ile ndio ikatumika kuhadaa watu kuwa Magufuli ni kiongozi anayekubalika, wakati si kweli.
Zama za Magufuli ccm haikuwa imara, bali kiligeuka na kuvaa taswira ya kiburi chake cha madaraka, lakini sio ushindani wa hoja, ndio maana chaguzi zote zilishamiri ushenzi, ukatili na uhayawani wa wazi ili ccm kutangazwa washindi kwa shuruti. Matumizi ya vyombo vya dola dhidi ya wapinzani ili kuibeba CCM,ule haukuwa uimara bali matumizi mabaya ya madaraka. Ukweli huu tunaufahamu na wananchi wanaufahamu, japo mnataka kupotosha mkidhani hatujui ukweli huu. Kama Magufuli alikuwa anakubalika na kuirudisha ccm kwenye mstari, tusingeona akipika idadi ya wapiga kura,na uporaji wa uchaguzi wa kitoto vile. Wakati wa Magufuli ndio tulishuhudia uvunjwaji mkubwa wa sheria, kutekwa wakosoaji hata kuuwa, na uonevu mkubwa wa vyombo vya habari visivyomsujudia. Kama unataka kupotosha, upotoshaji wako upambane na ukweli huo.
Nilikwambia hii user kazi yake inajulikana,wewe ni mkale hapa jukwaani ila umejificha kwenye koti jipya ,idiot!Hamjui chochote ninyi. Magufuli mwenyewe mwaka 2015, hakushinda. Kikwete, Nape, January, ndio wanaojua walifanya nini kumpachika Magufuli kwenye Urais. Na mwaka 2020 kungefanyika uchaguzi, Magufuli angeanguka vibaya zaidi.
Magufuli mwaka 2015 aliamua kufuta uhuru wa kisiasa kutokana na kuujua ukweli kuwa hakushinda kwenye box la kura. Magufuli aliingizwa kwa kura za wizi, akadumu katika wizi wa kura, mpaka mwisho wa maisha yake.
Well, Magufuli hayupo kwa sasa, ngoja tuone kama mtashinda 2025.Ni kama mnaona watanzania wote ni wajinga na hawana uwezo wa kutambua propaganda na ukweli. Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, bali kiongozi katili na muongo. Alichokuwa anakifanya yeye ni kudhibiti vyombo vya habari, na sauti zote za ukosoaji, huku akihakikisha wananchi wanalishwa tu kile akitakacho. Alitumia fedha nyingi kuwabrainwash wananchi, kwa kuhakikisha anatangazwa sana kwa sifa,na kila aliyekuwa anapata nafasi ya kuongea basi anamtaja yeye kwa kumsifia. Hali ile ndio ikatumika kuhadaa watu kuwa Magufuli ni kiongozi anayekubalika, wakati si kweli.
Zama za Magufuli ccm haikuwa imara, bali kiligeuka na kuvaa taswira ya kiburi chake cha madaraka, lakini sio ushindani wa hoja, ndio maana chaguzi zote zilishamiri ushenzi, ukatili na uhayawani wa wazi ili ccm kutangazwa washindi kwa shuruti. Matumizi ya vyombo vya dola dhidi ya wapinzani ili kuibeba CCM,ule haukuwa uimara bali matumizi mabaya ya madaraka. Ukweli huu tunaufahamu na wananchi wanaufahamu, japo mnataka kupotosha mkidhani hatujui ukweli huu. Kama Magufuli alikuwa anakubalika na kuirudisha ccm kwenye mstari, tusingeona akipika idadi ya wapiga kura,na uporaji wa uchaguzi wa kitoto vile. Wakati wa Magufuli ndio tulishuhudia uvunjwaji mkubwa wa sheria, kutekwa wakosoaji hata kuuwa, na uonevu mkubwa wa vyombo vya habari visivyomsujudia. Kama unataka kupotosha, upotoshaji wako upambane na ukweli huo.
Uchi.zi umekujaa, nadhani unasumbukiwa na uwendaqaz.imuMbona Yesu na Muhammad hamuwaachi wapumzike kwa amani,kila Jumapili na Ijumaa mnawataja na ikbidi kila siku.
Matendo mema ya Magufuli ndio yanaishi
Yesu na Mohamed ni another case here,Mbona Yesu na Muhammad hamuwaachi wapumzike kwa amani,kila Jumapili na Ijumaa mnawataja na ikbidi kila siku.
Matendo mema ya Magufuli ndio yanaishi
Case gani?acheni ubaguzi,aliyotenda Magufuli hayana tofauti na mitume zama zileYesu na Mohamed ni another case here,