Rais Samia katika uzani wa Magufuli : Duru za Uchaguzi mkuu 2025

Magufuli aliipa uhai butu CCM Kwa kutumia vyombo vya Dola. Bila vyombo vya Dola CCM si lolote so chochote.

Katika mazingira Sawa ya siasa CCM haiwez kupata hata asilimia 40 ya Kula. Huo ndiyo ukweli.

Ni afadhali CCM ya Jakaya na Kinana iliyokuwa inajibu hoja za kisiasa Kwa siasa kuliko CCM ya John iliyonibu hoja za kisiasa Kwa kuteka, kuua na kufunga.

Wakati wa John uliwahi kuiiona CCM inajibu hoja za wapinzani?? Ccm ya John ilijaa watu wajinga kama polepole na Dr. Bashiru.
 
Magufuli asifiwe kwa mazuri aliyofanya kama miradi yake mikubwa aliyotuachia, na utendaji kazi serikalini alirudisha uwajibikaji kwa kuondoa/kupunguza uzembe, simply alikuwa na "fear factor of a certain" kind ambayo somehow ilikuwa positive.

Lakini kwa suala la siasa ndani ya nchi yetu niseme kweli Magufuli ndio aliturudisha nyuma kabisa, hapa ndipo ambapo "fear factor" ya Magufuli ilitumika negatively.

Unavyosema aliwarudishia uwezo wa kuvaa sare zenu alifanya hivyo kwa njia zisizo halali, na sio kwa kukubalika kwenu kwa wananchi.

Chaguzi nyingi wakati wake wapinzani walikuwa wanapigwa, wanatekwa, wanauwawa, ili tu CCM yake itangazwe mshindi bila kupingwa, tofauti na unavyoonesha kwenye andiko lako kama vile mlikuwa mkishinda kihalali.
Hahahaa kwa hiyo nyie wakati mnawatandika makofi wenye nguo za kijani mlisikia raha au?
Watu walikua wanavalia nguo kwenye mikutano na kuzivua wakimaliza mikutano, je hilo ilikua sawa? 😁😁😁
 
Kwanini hamtaki kumwacha Magufuli apumzike daily kumuanzishia nyuzi humu JF, si mtakuwa mnamfanya azunguke huko kaburini, you have to accept he is gone na Samia atakuwa Samia hawezi kuwa Magufuli kamwe.
mbona nyerere anaongelewa kila siku? nayeye tumuache apumzike? jinga wewe
 
Back
Top Bottom