Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Ni wale wale wamepakana, mbaya zaidi walikaliwa na waarabu na wahindiHata wanyamwezi asee, wanafanya kibarua changu kinaelekea kubaya 😠🤠🤠😏😏
Jamaa ukimpa hela, siku tatu amelewa na sio mmoja ni karibu 6/10 sasa kazi ya watu si lazima ilaleNi wale wale wamepakana, mbaya zaidi walikaliwa na waarabu na wahindi
Wanyiramba ukimtoa Lissu wengine wote ni wavivu haswa, kuna mwekezaji mwaka jana alikuwa analalamika anatoa wafanyakazi Mwanza na Shinyanga wanyiramba akilipwa harudi anaenda kuoa na kunywa pombe za kienyeji ndiyo type ya Suphian kujipendekeza apate uteuzi
thawa thufiani juma nkuwi,KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA.
Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha BIRTHDAY ya Mkoa wetu wa Singida kwa kufikisha miaka 60 tangu uundwe Octoba 15, 1963.
RATIBA:
Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba, Mhe. Rais Samia atakuwa na ratiba katika Mkoa wa Singida kama ifuatavyo;
15/10/2023:
16/10/2023
17/10/2023
Kama Mzaliwa wa Singida nina furaha mno kuwakaribisha watanzania kutoka pande zote nchini tukamlaki RAIS wetu mkoani Singida ambaye kwa muda mfupi amefanya Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo mkoani Singida na Taifa kwa ujumla. Na ndio maana Singida ndio Mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito kwa Rais Dkt Samia, na CCM.
Karibu "Iyu winthu" Samia.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KAZI IENDELEE
SINGIDA GUNTOO!!
Suphian Juma Nkuwi
Kada - CCM
Mzaliwa wa Singidap
Simu: 0717027973
Octoba 13, 2023View attachment 2780858View attachment 2780859
Mkuu Suphian Juma , nakuunga mkono hoja, mkoa wa Singida ndio mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito... kiukweli Singida sio mchezo!, sema tuu watu hawajui!, kwa Singida, hata wale 'waja leo, warudi leo', watasubiri!, hata yale 'maharage ya Mbeya' ya maji mara moja, kwa Singida ni maji mara sifuri..., ni ukigusa tuu...!.Kama Mzaliwa wa Singida nina furaha mno kuwakaribisha watanzania kutoka pande zote nchini mkoani Singida na Taifa kwa ujumla. Na ndio maana Singida ndio Mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito
Karibu "Iyu winthu"
Suphian Juma Nkuwi
Kada - CCM
Mzaliwa wa Singidap
Simu: 0717027973
Wanamboga zao zile nsansa,mzabaguro,ntariyanda🤣🤣🤣Ah ah Mkuu sio wavivu bali wanalidhika mapema Yani mtu anaweza kwenda kibaruani Kisha akipata 10k apo kesho umuoni lakini nyuma yake watoto kama kumi ivi wanamuangalia kazi kuwatuma mchana jua Kali kutafuta zile nyanya poli kwenye mashamba ya watu na kuchuma mlenda (limbe) kwenye vumbi
Ninashauri akifika singida Akimaliza ziara yake mkoani Singida atembelee Mkoa wa Mbeya Kwa kupitiaa Manyoni- Itigi - Ikumbu ~ Kiombo ~ Itumba ~ RUNGWA- Kambi katoto ~ Lupa tingatinga- Makongorosi- Chunya - Mbeya.KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA.
Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha BIRTHDAY ya Mkoa wetu wa Singida kwa kufikisha miaka 60 tangu uundwe Octoba 15, 1963.
RATIBA:
Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba, Mhe. Rais Samia atakuwa na ratiba katika Mkoa wa Singida kama ifuatavyo;
15/10/2023:
16/10/2023
17/10/2023
Kama Mzaliwa wa Singida nina furaha mno kuwakaribisha watanzania kutoka pande zote nchini tukamlaki RAIS wetu mkoani Singida ambaye kwa muda mfupi amefanya Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo mkoani Singida na Taifa kwa ujumla. Na ndio maana Singida ndio Mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito kwa Rais Dkt Samia, na CCM.
Karibu "Iyu winthu" Samia.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KAZI IENDELEE
SINGIDA GUNTOO!!
Suphian Juma Nkuwi
Kada - CCM
Mzaliwa wa Singidap
Simu: 0717027973
Octoba 13, 2023View attachment 2780858View attachment 2780859
DuhMkuu Suphian Juma , nakuunga mkono hoja, mkoa wa Singida ndio mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito... kiukweli Singida sio mchezo!, sema tuu watu hawajui!, kwa Singida, hata wale 'waja leo, warudi leo', watasubiri!, hata yale 'maharage ya Mbeya' ya maji mara moja, kwa Singida ni maji mara sifuri..., ni ukigusa tuu...!.
Singida Oyee!.
P