Rais Samia: Jiandaeni kupokea ugeni

Yaani Ina maana dunia haitujui ndo ssh anaanza kuitambulisha nchi yetu?!
Gharama yake ni nini huo mkutano wao? Je covid imeisha au ndo wanaleta mzigo mpya 3rd wave?!
 
Mama ana adjust taifa letu kwa kasi ya ajabu sana uharibifu ulikuwa ni mkubwa sana,ndani ya taifa hili.
 
Kafie mbali na usukuma wako huko,mama tunae mpaka 2035
 
Huo ndio utakuwa wakati mzuri zaidi kwa sisi watanzania kuiambia dunia tunataka katiba mpya na mama anajaribu kutaka kutusahaulisha.

Hao waandishi wakija tu, wimbo ni mmoja, katiba kwanza na mengine baadaye.
 
Inafulaisha
 
Ingependeza sana kama angefikia alipo through electoral process.

Ila amekua hivyo by default.

Ngoja tuone 2025.
 
Tatizo liko wapi kamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…