USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomsikia Mdude akitukana,Mbowe akimfokea, Heche akimtishia,Lissu akimdhihaki nilihofu sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya Rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe Rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara, ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo.
Kidumu Chama cha Mapinduzi