Rais Samia haropoki hana temper ni vitendo tu

Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.

Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.

Nikipomeikia mdude akitukana,mbowe akimfokea, Heche akimtishia,lisu akimdhihaki nilihofu Sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.

Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,

Tunaojua nguvu ya rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara ,ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo

Kidumu chama cha mapinduzi

USSR
Sama samia ni jasir au polisi ndo jasiri
 
Kule nimeenda kupumzika baada ya kazi kubwa ya October 28 2020
Hahahaha naona Samia amewaamulia bawacha hawapumui walimsema JPM Sasa imegeuka ,mama D

USSR
 
Million 300 zimerudishwa baada ya CDM kuigaragaza serikali kwenye rufaa sio favor hii.
Huwezi kuelewa mkono wa serikali kwenye hili. Wangeamua CDM isingeshinda hiyo rufaa. Kama huelewi hilo basi wewe ni mgeni nchi hii na Africa kwa ujumla. Unaamini na Mdude alishinda rufaa?,au ilipangwa tu iwe hivyo??
 
Hawa jamaa wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Mama alikuwa upande wao wakarudishiwa hadi milioni 300, wakazunguka kila kona wakifanya mikutano. Na yule Mdude wao akaachiwa wakati ushahidi wa kumfunga ulikuwepo, akaanza jeuri eti nitamnyoa kama mtangulizi wake.

Mbowe naye akaota mapembe akaanza maneno ya jeuri, mama akaona kumbe hawa sio wa kuwachekea hata kidogo. Walivyo wapuuzi hawaheshimu hata sikukuu ya waislamu wanaitisha makongamano ya katiba siku ya Iddi. Acha waonje joto ya jiwe tu.
Huna akili hata moja
 
Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.

Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.

Nikipomsikia Mdude akitukana,Mbowe akimfokea, Heche akimtishia,Lissu akimdhihaki nilihofu sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.

Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,

Tunaojua nguvu ya Rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe Rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara, ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo.

Kidumu Chama cha Mapinduzi

USSR
Shida ni kwamba mwisho wao huwa hapo Mzena tu
 
Hata Mwendazake hakuropoka ila aliomba Aombewe

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.

Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.

Nikipomeikia mdude akitukana,mbowe akimfokea, Heche akimtishia,lisu akimdhihaki nilihofu Sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.

Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,

Tunaojua nguvu ya rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara ,ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo

Kidumu chama cha mapinduzi

USSR
Nyie ni wapumbavu sana,ni jambo gani jipya ambalo samia atafanya la kuwashangaza wapinzani na kuwaogofya,hivi chadema mnafikiria awategemei haya yanayowakuta,kama jela washafungwa sana risasi washapigwa mahabusu ndio kwao lakini hawajawahi rudi nyuma.

Njia ya ukombozi wa kweli aijawahi kuwa rahisi,hata Mbowe na chadema yake washindwe mda huu IPO siku watanzania watapata ukombozi wa kweli wa kifikra kisiasa kiuchumi na Katiba bora na akina Mbowe na wote wenye mapenzi mema na nchi hii majina yao yataandikwa kwa wino wa dhahabu,na madhalimu wote unaowashabikia hivi sasa historia itawahukumu na kuwasahau time will tell.
 
Hahahaha naona Samia amewaamulia bawacha hawapumui walimsema JPM Sasa imegeuka ,mama D

USSR

Chuma JPM kilijua kunoa Chuma SSH

Wanaodhania kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mpinzani wa John Pombe Joseph Magufuli wakapimwe mkojo

Rest well papaa🕊🕊🕊🕊

We miss you so much🙏
 
Hawa jamaa wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Mama alikuwa upande wao wakarudishiwa hadi milioni 300, wakazunguka kila kona wakifanya mikutano. Na yule Mdude wao akaachiwa wakati ushahidi wa kumfunga ulikuwepo, akaanza jeuri eti nitamnyoa kama mtangulizi wake.

Mbowe naye akaota mapembe akaanza maneno ya jeuri, mama akaona kumbe hawa sio wa kuwachekea hata kidogo. Walivyo wapuuzi hawaheshimu hata sikukuu ya waislamu wanaitisha makongamano ya katiba siku ya Iddi. Acha waonje joto ya jiwe tu.
Mama nawajibu kwa busara

USSR
 
Chuma JPM kilijua kunoa Chuma SSH

Wanaodhania kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mpinzani wa John Pombe Joseph Magufuli wakapimwe mkojo

Rest well papaa

We miss you so much
Hakika Samia analeta Suluhu ya kweli mm kidogo nitoke kwenye lines

USSR
 
Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.

Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.

Nikipomsikia Mdude akitukana,Mbowe akimfokea, Heche akimtishia,Lissu akimdhihaki nilihofu sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.

Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,

Tunaojua nguvu ya Rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe Rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara, ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo.

Kidumu Chama cha Mapinduzi

USSR
Ajiangalie tu - anaweza asifike mbali kama mwenzake.

Mungu hataniwi hata kidogo na atajibu kwa vitendo kabla ya 2025!
 
Hakika Samia analeta Suluhu ya kweli mm kidogo nitoke kwenye lines

USSR

Alishamwambia Mwamba kwamba anamshukuru kwa kuwanyoosha, amenyooka, na uwezo wa kuwanyoosha
 
Chuma JPM kilijua kunoa Chuma SSH

Wanaodhania kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mpinzani wa John Pombe Joseph Magufuli wakapimwe mkojo

Rest well papaa🕊🕊🕊🕊

We miss you so much🙏

Hii speech ni kama ilikuwa inatafsiri kwamba Samia yupo tayari kuchukua nchi akisaidiwa na hao kina Kassim, Kabudi na Mpango.

Ilikuwa ni hotuba ya maono ya kile kilichokuja kutokea baadae.
 
Back
Top Bottom