BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,479
- 21,483
True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.Utaratibu wa doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa DOKTA ni yule tu ambaye aliusomea huo udokta darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli, Au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa udokta wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita DOKTA. Udokta wake unabaki kuwa wa heshima na sio udokta wa TITLE. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa DOKTA SAMIA kwa sababu hakusomea udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Haifaiutapeli ukianzia juu chini kote unatapakaa.nchi ya matapeli
Mimi nakubaliana na wewe , ila naomba kuanzia leo tukikutana nitambue kama daktariKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Dokta Menemene Tekeri na Peresi ,🤣Mimi nakubaliana na wewe , ila naomba kuanzia leo tukikutana nitambue kama daktari
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dr wa kurem ua macho na kupaka ripstickKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Hapana, hata huko kwenye social gatherings sidhani kama ni halali kuitwa DOKTA. Kama ni kweli basi naomba hizo guidelines zinazosema hivyo kama hutojali.True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.
Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Hili nalo mkalitizame.Dr wa kurem ua macho na kupaka ripstick
Kuna hatari kubwa sana kwako ya kukumbwa na yaliyomkumba Ben Saanane.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Machawa hayawezi kukuelewaKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Nyerere alipata PhD kadhaa lakini hakuwa akiitwa Dakta...Hapana, hata huko kwenye social gatherings sidhani kama ni halali kuitwa DOKTA. Kama ni kweli basi naomba hizo guidelines zinazosema hivyo kama hutojali.
Acha kummaindisha Rais wetu wewe kuitwa DR Samia!! Huyo anastahili. Maana amekata kiu ya wananchi wengi sana akiwemo Lucas mwashambwa.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Ahsante , Mungu akubariki sana asubuhi yangu imekuwa njema sana .[emoji3]Dokta Menemene Tekeri na Peresi ,[emoji1787]
Tatizo ni nyie CCM wenzake ndo mnamwita Dr na hata mnaandika Dr. Sasa wananchi tufanyenje muache kumuita na kumwandika Dr?True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.
Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Ahsante , Mungu akubariki sana asubuhi yangu imekuwa njema sana .[emoji3]Dokta Menemene Tekeri na Peresi ,[emoji1787]
Na pia mtu anayepaswa kuitwa Dr ni yule anayefundisha chuo kikuu kama hafundishi au ameacha hata kama ni PhD holder hapaswi kuitwa Dr au ProfessorKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.