PostGE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo bila amani

PostGE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo bila amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ifike mahali mwenyezi Mungu naye atusamehe tu dhambi zetu huko peponi sisi watanzania, uongozi tulionao huku ni adhabu tosha kabisa.
Kabisa mkuu. Kama ni dhambi Mungu atusamehe, ccm na huu uongozi vinatupa maumivu makali sana
 
Mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutarajia amani huku akidhulumu haki. Mtu yeyote anayedhulumiwa hawezi kuacha kuipambania haki yake. Anaweza kutulia kwa sabau hana la kufanya, lakini utulivu wa namna hiyo ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kuutafsiri kuwa ni amani.
 
Hio mbona ni wazi kabisa ? Sababu hata bila amani hayo sio maendeleo kwahio hilo sio swali la kujiuliza la kujiuliza ni Nani anafanya Amani isiwepo ?

Sababu naona kama ni mwendo wa kunyosheana vidole tu hata wakosaji nao ni kulaumu wengine...

 
Back
Top Bottom