Basi asiende bungeni ili asipigwe tena risasi.
Kwani yeye bado ni mbunge?
Basi asiende bungeni ili asipigwe tena risasi.
Hakupigwa kwenye maeneo ya bunge. Ni kwenye makazi yake kama alivyopigwa profesa chachage kwenye makazi yake.
Sio mbunge hivyo hana sababu ya kuogopa kupigwa tena risasi bungeni, aje tu huku uraiani kwenye panya road.Kwani yeye bado ni mbunge?
Sio mbunge hivyo hana sababu ya kuogopa kupigwa tena risasi bungeni, aje tu huku uraiani kwenye panya road.
Kwani ni lissu tu hapa ambaye amewahi kupigwa lisasi?Karume rais wakwanza wa Zanzibar alipigwa risas mchana kweupe,na maisha yanaendelea,Mwangosi mwandishi wa habari alipigwa mpaka utumbo ukamwagika, akina dkt Mvungi wamekufa,kwani lissu ninani nchi?Ni nani wanaochafua nchi yao kama siyo viongozi wanaonyanyasa wananchi wao?
Kama unashangaa watu kupigwa risasi mchana kweupe, na hata pasiwepo na uchunguzi wowote juu ya uhalifu huo, wewe kweli unastahiri kuitwa kiongozi wa nchi?
Kama kiongozi unapoona kujitangaza huko majuu ndiyo sifa zaidi kwako kuliko kusimamia harakati za wananchi wajikwamue kwenye rindi la umaskini, ni nani hapa anayepaswa kushangaza watu.
Kama kiongozi, unapoamini kwamba wananchi wako hawawezi kamwe kujikwamua kwa juhudi zao kutokana na umaskini unaowakabili wakiwa wamezungukwa na raslimali tele, ni nani wa kushangaza watu hapa?
Huyu anayeshangazwa na mambo anayoyaona yakiwa wazi, na bado anashangaa juu yake atakuwa anayo kasoro kubwa katika mawazo yake.
Kama ni kupenda nchi, au kutafuta kujifunika na koti la uzalendo lisilo kuwa saizi yake hakuwezi kuwaondolea wengine wanaolazimishwa kukimbia kuipenda nchi yao na bara la Afrika kuliko yeye.
Hizi ni siasa za bei mbovu.
Alipigwa risas Karume rais wakwanza wa Zanzibar,sembuse lissu, kwani lissu alikuwa nanini cha ziada kuondoa matusi ya kutukana Magufuri na wateule wake.Hayo makaazi yake yalikuwa Dar ?
Aliyempiga risasi Karume anajulikana ,hebu tuambie Nani alimpiga risasi Lissu ?Alipigwa risas Karume rais wakwanza wa Zanzibar,sembuse lissu, kwani lissu alikuwa nanini cha ziada kuondoa matusi ya kutukana Magufuri na wateule wake.
Kwani hao wasiojulikana wana sababu gani ya kutaka kumpiga tena risasi Lissu? Yule aliyemtuhumubkuwa ndio aliwatuma hao wasiojulikana hayupo.Kwani wale waliompiga risasi wasiojulikana sasa wamejulikana?
Ninani alitumwa na nani, alikuwa na nia gani mpaka kumpiga rais risasi?Aliyempiga risasi Karume anajulikana ,hebu tuambie Nani alimpiga risasi Lissu ?
Ni kazi ya Nyerere ,Kama alivyoanza kusemwa kwenye kesi Na kuitwa Mr XNinani alitumwa na nani, alikuwa na nia gani mpaka kumpiga rais risasi?
Hivi unajua wewe ni mpuuzi, bishaPaulsylvester,
Waje kufanya nini na wakati Serekali kupiti huyo mama mnaemwimba na kulamba viatu vyake wameshindwa kuwahakikishia usalama wao.?
Watarudi tu pale watakapo wahakikishia usalama wao. Tofauti na hapo hawawezi kurudi hapa msije tena mkawapiga risasi waoga wa hoja nyie....
Kwa katiba iliyopo Huyu Mama hana tofauti na Magufuli na jinsi utamu wa URAIS unavyomkolea she could become even worse than Magufuli! Time will tell.Mbona hawarudi sasa zaidi ya mwaka mmoja tangu Magufuli auwawe?
Lissu alishambuliwa na wenzake (Chadema). Hapa Tanzania watu waliokatwa ulaji waliunda kundi la kumsakama Magufuli aonekane mtu wa hajabu ila nje ya nchi karibu kila Mwafrika aliomba Magufuli awe rais wao kwa sababu alikuwa mzalendo na aliyetetea maslahi ya nchi. Baada ya kumuua, vile vyote alivyopangua vimerudishwa na lile kundi kama kufufua bandari ya hasara (Bagamoyo), uozo serikalini kurudi tena, uuzaji madawa ya kulevya kushamiri, mapolisi kushirikiana na majambazi, vitoto wa panya road. Unafikiri Afrika tutaendelea kweli kwa ujinga huu waufanyao viongozi wetu makusudi?Jiwe ndio chanzo cha yote haya. Watu kibao wameikimbia hii nchi kwa ajili ya utawala wa hovyo wa magufuli.
Watu wenye hadhi ya lissu wamekimbia hii nchi baada ya kunusurika kifo baada ya zile risasi pale dodoma
Lema, Lissu na wenhine kina Chahali walikimbia hi nchi kuogopudictkteta wa magufuli na wenzie akiwepo mama samia.
Watu kama hao ulitegemea waende kutangaza vicutio vya utalii huko nje!! Utakuwa mgonjwa wewe sio bure.
Hata hujui unachoandika hapa. Ya nini kupoteza muda nawe!Kwani ni lissu tu hapa ambaye amewahi kupigwa lisasi?Karume rais wakwanza wa Zanzibar alipigwa risas mchana kweupe,na maisha yanaendelea,Mwangosi mwandishi wa habari alipigwa mpaka utumbo ukamwagika, akina dkt Mvungi wamekufa,kwani lissu ninani nchi?
Point less ,Jiwe ndio chanzo cha yote haya. Watu kibao wameikimbia hii nchi kwa ajili ya utawala wa hovyo wa magufuli.
Watu wenye hadhi ya lissu wamekimbia hii nchi baada ya kunusurika kifo baada ya zile risasi pale dodoma
Lema, Lissu na wenhine kina Chahali walikimbia hi nchi kuogopudictkteta wa magufuli na wenzie akiwepo mama samia.
Watu kama hao ulitegemea waende kutangaza vicutio vya utalii huko nje!! Utakuwa mgonjwa wewe sio bure.
Rais Samia amesema anashangazwa na baadhi ya watu kutumia maisha yao kuchafua nchi yao Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla kwa kulitangaza vibaya huko kwenye anga za kimataifa.
Rais Samia ametolea mfano baadhi ya viongozi wa upinzani kusafiri nje ya nchi na kuanza kutangaza Tanzania kuna udikteta mara hamna uhuru wa habari, mara kuna mauaji, mara kuna njaa watu wanaishi chini ya dola moja wakati siyo kweli.
Rais amesema Tanzania ina vitu vingi sana vya kutangaza kama madini hali ya hewa, ukarimu wa Watanzania, mbuga nzuri etc kuliko kukalia kutangaza upuuzi tu unaosababisha hao wanaotangaza kudharaulika pamoja na nchi yao.
My take.
Ujumbe huu uende moja kwa moja kwa Tundu Lisu, Lema, Zitto pamoja na Fatuma Karume wakumbuke wamesoma kwa rasilimali za Tanzania na siyo hao wanaojikomba kwao.
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.Jiwe ndio chanzo cha yote haya. Watu kibao wameikimbia hii nchi kwa ajili ya utawala wa hovyo wa magufuli.
Watu wenye hadhi ya lissu wamekimbia hii nchi baada ya kunusurika kifo baada ya zile risasi pale dodoma
Lema, Lissu na wenhine kina Chahali walikimbia hi nchi kuogopudictkteta wa magufuli na wenzie akiwepo mama samia.
Watu kama hao ulitegemea waende kutangaza vicutio vya utalii huko nje!! Utakuwa mgonjwa wewe sio bure.