Rais Samia awachana wanaolitangaza vibaya taifa

Rais Samia awachana wanaolitangaza vibaya taifa

My President, U EARN A RESPECT, sio kulazimisha, Africa it's not all gone, we still have good story to tell, ninarudia tena humu kama kuna mwana JF humu ambaye ameshawahi kuombwa RUSHWA ndani ya Botswana, aje hapa na maelezo, kama ni kweli nitamrudishia fedha aliyotoa
 
Waje kufanya nini na wakati Serekali kupiti huyo mama mnaemwimba na kulamba viatu vyake wameshindwa kuwahakikishia usalama wao.?
Watarudi tu pale watakapo wahakikishia usalama wao. Tofauti na hapo hawawezi kurudi hapa msije tena mkawapiga risasi waoga wa hoja nyie....
Lisu so kafanya kampeni miezi mitatu hapa,alihakikishiwa na Nani usalama!?
 
Jiwe ndio chanzo cha yote haya. Watu kibao wameikimbia hii nchi kwa ajili ya utawala wa hovyo wa magufuli. Watu wenye hadhi ya lissu wamekimbia hii nchi baada ya kunusurika kifo baada ya zile risasi pale dodoma
Lema, Lissu na wenhine kina Chahali walikimbia hi nchi kuogopa udictata wa magufuli na wenzie akiwepo mama samia.
Watu kama hao ulitegemea waende kutangaza vicutio vya utalii huko nje!! Utakuwa mgonjwa wewe sio bure.
Hivi lema naye alikimbia nini ? Alikuwa nahofu ya nini? Yaanialichofanya lema ni sawa na watoto wadogo wanaigana huyu akiumia nayule anajifanya ameumia Hana lolote
 
Amesahau mara hii kuwa ni juzi tu alikuwa anamusema Magufuli wakati yuko nje ya nchi au ni kwa vile tu Magufuli hana nafasi ya kujitetea?.
 
Anaonekana anatatua tatizo lililopita huku anatengeneza lingine jipya, wakianza kumparua akawaparura naona wataenda huko nje waanze kutangaza tena Tanzania waandishi wa habari wanaparuliwa.

Awaache waandishi wafuate sheria kwenye kutimiza majukumu yao, sio kufuata hisia zake.
EEEeeenHeeeee!

Huyu mama nadhani inafaa awe anajishangaa yeye mwenyewe kuhusu matamshi yake.

Ni kama huwa hakumbuki alichokwishasema anaposema kinyume chake baada ya muda mfupi.

Hizi hotuba zake ni kama halengi jambo lolote la maana linalopaswa wananchi walikumbuke au walizingatie. Ni kama anatoa mipasho tu ili mradi watu wasikie kasema jambo hata kama halina uzito wowote
 
Jiwe ndio chanzo cha yote haya. Watu kibao wameikimbia hii nchi kwa ajili ya utawala wa hovyo wa magufuli.

Watu wenye hadhi ya lissu wamekimbia hii nchi baada ya kunusurika kifo baada ya zile risasi pale dodoma

Lema, Lissu na wenhine kina Chahali walikimbia hi nchi kuogopudictkteta wa magufuli na wenzie akiwepo mama samia.
Watu kama hao ulitegemea waende kutangaza vicutio vya utalii huko nje!! Utakuwa mgonjwa wewe sio bure.
Magufuli kafa sasa kwanini hawarudi?

Sema wanalelewa na siyo kuogopa usalama wao
 
Jiwe ndio chanzo cha yote haya. Watu kibao wameikimbia hii nchi kwa ajili ya utawala wa hovyo wa magufuli.

Watu wenye hadhi ya lissu wamekimbia hii nchi baada ya kunusurika kifo baada ya zile risasi pale dodoma

Lema, Lissu na wenhine kina Chahali walikimbia hi nchi kuogopudictkteta wa magufuli na wenzie akiwepo mama samia.
Watu kama hao ulitegemea waende kutangaza vicutio vya utalii huko nje!! Utakuwa mgonjwa wewe sio bure.
Kama ulikuwa mpuuzi, mbadhirifu, mpenda rushwa, mzandiki wa nchi usingeweza kuishi nchi hii chini ya utawala wa Jiwe.

Kama machinga na raia wema walikuwa wakimkimbilia kila alipopita jua we uliyemkimbia na kujificha ama kuhama nchi una matatizo.
 
Back
Top Bottom