inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,266
- 18,662
Acha wakulima wapige hela,macho matatu mbona mnanunua Bei Kali na hamlii!?Haya mabadiliko yatateremsha bei ya maharage kilo sh. 4500 hali mbaya huku mitaani.
Acha wakulima wapige hela,macho matatu mbona mnanunua Bei Kali na hamlii!?Haya mabadiliko yatateremsha bei ya maharage kilo sh. 4500 hali mbaya huku mitaani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za ongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam leo tarehe 03 Januari, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan amesema: “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala kuhusu ofisi zetu za Kibalozi zilizopo Nchi mbalimbali, Serikali inafanyia kazi kasoro zilizoelezwa ili kurudisha hadi ya balozi zetu.
Nimefanya mabadili katika ofisi ya Ubalozi iliyopo New York, ofisi hii ni muhimu kwa kuwa ndio inatuwakilisha katika mambo yanayojadiliwa na mataifa na taasisi za kimataifa zilizopo Umoja wa Mataifa Mjini New York.
"Ofisi yetu hiyo inahitaji mwanadiplomasia mahiri anayejua siasa za kimataifa, mzalendo kwa nchi yake na mtulivu wa hekima na busara.
"Hivyo nimeamua kumrudisha nyumbani Prof. Kennedy Gaston aliyeko Ofisi ya New York na kumpeleka Hussein Othman Kattanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi"
Utakuwa hujui uongozi wa hapo wewe. Sasa hivi itabidi Katanga awe anareport kwa Kusiluka.Basically sio Demotion ni heavy promotion hiyo
Sawa TuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za ongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam leo tarehe 03 Januari, 2023
Mwezi Novemba 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kuhusu matumizi ya fedha na madaraka katika ofisi za kibalozi zilizoko nchi mbali ulimwenguni. Kutokana na hilo serikali inafanyia kazi kasoro zilizoletwa ili kurudisha hadhi za balozi zetu.
Mabadiliko hayo ni;
Mabadiliko katika Ofisi ya Ubalozi New York ambayo inakuwa na mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Taifa.
Mmh.. sio kweli!Basically sio Demotion ni heavy promotion hiyo
Nitalifurahia sana hilo lakini bado nina mashaka nalo je tayari tumepevuka kufikia hapo?Nasikia sauti za tausi kwa mbali kwenye clip hii. Vitu natamani kwa TISS ni ujasusi wa kiuchumi na mfumo mpya wa recruitment. Hayo mengine ni kazi za kawaida zinazofanywa kila siku
Bwana nassoroHuyo boss mpya wa Tiss ni nani ? Haha
Promotion ya kutoka kuwa Karibu Mkuu kiongozi hadi kuwa balozi Marekani na wa kudumu UN?Basically sio Demotion ni heavy promotion hiyo
Tuko sifuri kabisa. Ujasusi wa kiuchumi unahitaji ujipange na uwe na watu smart sio hawa kamleteNitalifurahia sana hilo lakini bado nina mashaka nalo je tayari tumepevuka kufikia hapo?
Afu alikuwepo kwenye utawala Wa MaguKatanga kala demosion ndani ya mda mfupi sana.
Ngoja tuone Kusiluka atafika wapi na huyu mama.. ukiona hivyo kuna mafaili hayaendi pale Ikulu.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Internal AffairsHuyo boss mpya wa Tiss ni nani ? Haha