King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,851
- 95,072
Hivi hujui kwamba kitendo cha Serikali kuhamia Dodoma imeathiri biashara ya kupangisha Dar?
Nani kakwambia kwamba wameisha? Ulishawai kwenda kununua ngada Kinondoni au Mwananyamala ukaukosa?Mbona hujasema wauza NGADA walijaa mtaani!!!
Kuanzia sasa serikali iwe inagawa pesa mitaani kama free samples!
Sugar sukari!Saitakuaje
Mama kesho amalizie kile kipolo cha ma DC na wengineo
Mnamsujudia sana kigogo ilhali watz in Twitter are less than 1%Sawa Mkuu ,watu tunataka fedha kitaani ,akiendeleza madudu ya MEKO ataparuana na KIGOGO.
Kuna nini kafuata huko!??
Shujaa tena? Mbona pambio na vigelegele mapema sana! Kwani kwaya ishaundwa?Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).
Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
SASUHASASHA - SAMIA SULUHU HASSAN.
Kwa sababu aliteuliwa na JIWE?Utasubiri Sana, sabaya yupo leo na hata kesho
Huo utafiti wako uliofanyia kwenu NAMINYWILI au KAZURAMIMBA?Mnamsujudia sana kigogo ilhali watz in Twitter are less than 1%
Joketi sijui anafanya nini kisarawe mifugo inaibiwa kamati ya ulinzi kila siku wanatupiga kalenda tu, maoni tumepeleka ofisini kwake majibu mepesi kama unyoya basi wafugaji tumekosa amani kabisaaa, kanajua kenyewe kana fanya nini kule ofisini kupokea saluti tu.Eeh watu kama hawa...kina jokate warudi mtaani tu waongoze vikundi vya jogingi
Hater!Eeh watu kama hawa...kina jokate warudi mtaani tu waongoze vikundi vya jogingi
Ndege aliyotumia siyo GulfStream bali hiyo unaoona hapo ni Airbus 200! Gulfstream imeshakuwa mkoko, hala hata haionekani tena siku hizi kwenye safari za rais!
Kama ndege hazipati safari za kibiashara na zinatakiwa ziruke wafanyeje?Hii ndege anazungukannayo mkulu alafu CAG anakuja kutupanikisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni mwezi mtukufuAmekula?