Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Ndio makao makuu ya nchiKuna nini kafuata huko!??
Kazi haianzi, inaendeleaKazi inaanza rasmi
Wewe kweli ni mtanzania mwenzetu?Kuna nini kafuata huko!??
Ole sabaya week hii analambishwa mchangaMama kesho amalizie kile kipolo cha ma DC na wengineo
Eeh watu kama hawa...kina jokate warudi mtaani tu waongoze vikundi vya jogingiOle sabaya week hii analambishwa mchanga
Makao makuu ya nchi! Ndipo ilipo ofisi yake!Kuna nini kafuata huko!??
Kijijini hukoo...Wewe kweli ni mtanzania mwenzetu?
Kigogo yule mpuuzi tu, anataka mama afanye kazi kama anavyotaka yeye!! Huyo atakuwa Rais au Utopolo? Wamwache mama afanye anavyoona inafaa yeye mwenyewe, mbona kwa Jiwe walim-mute wenyewe?Sawa Mkuu ,watu tunataka fedha kitaani ,akiendeleza madudu ya MEKO ataparuana na KIGOGO.
Uendelee kuwa na mama hivyo hivyo, hata akikutumbua, siyo urudi huku kulialia!Mama Samia shujaa amefika dodoma leo akitokea dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi). Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
Mkuu heshima kwako, Ila nakushauri ongeza bidii kwa kile unafanya. Serikali haitakuletea ugali mezani(ukweli mchungu)Sawa Mkuu ,watu tunataka fedha kitaani ,akiendeleza madudu ya MEKO ataparuana na KIGOGO.
Mama kaingia Dodoma jioni hii Kimya² Kuna uwezekano wa watu kula kiapo ndani ya mwezi mtukufu Wa Ramadhani.