Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, Jumatano, Novemba 5, 2025.

 
Vikao vya chama kila mara, kwani hii nchi inaongozwa na chama ?

Uchaguzi umeisha ,siasa ziwekwe pembeni.

Tuna taka kuona vikao vya Baraza la ulinzi na usalama Taifa, na vikao vingine vya kiserikali wakitoa taarifa na miongozo ya uendeshaji wa serikali.
 
Vikao vya kujadili kura 31m zimetoka wapi, maana voters turnout ilikuwa aibu. Waambiane ukweli kuwa hiki si kizazi cha ccm, na kimeshaichoka. Wakalizimsha m23 itakuwa na hapa nchini.
 
Back
Top Bottom