Rais Samia aondoka Dar kuelekea Zanzibar kwa Mapumziko ya Sikukuu

... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi! Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?
Wakuu si tumekubaliana tusimtaje tena mutu yule?
 
... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi! Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?

Jitu gani hilo??!!
 
Huko ndio kupumzika, baada ya kumfuturu yule Mtesi Mwandamizi Sabaya Mama kapumzike ukija kuna Mbeya pale.

Mama usiache kusoma Mitandao, kuna watu makini sana wenye kuipenda Tanzania, usimsahau Maria Sarungi Tsehai
westbrookswag.png
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu

Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid lililifanyika ukumbi wa Anatouglo Dar es salaam

Mheshimiwa Samia ameshawasili salama Zanzibar
Nimekuta na convoy yake inapita kwenda Airport
 
... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi! Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?
duh hahaaha! watu bado mnahasira
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu

Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid lililifanyika ukumbi wa Anatouglo Dar es salaam

Mheshimiwa Samia ameshawasili salama Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu

Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid lililifanyika ukumbi wa Anatouglo Dar es salaam

Mheshimiwa Samia ameshawasili salama Zanzibar
All the best,God bless
 
... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi! Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?
Wewe jamaa weeh ha ha ha ha ha ha 😀
 
Back
Top Bottom