Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,333
- 1,356
Sukuma gang hawaamin kinachoendelea nchiniSukuma gang wanasemaje huko?

Kitu pekee ninachomshukuru Mungu, ni kuwa, hivi sasa vyama vyote,viongozi na waumini wa Dini zote, bodaboda,WAZEE Kwa vijana, wakulima, wafanyakazi,wafanyabiashara nk. vinaimba WIMBO wa KATIBA mpya.Salaam.
Mwl J.K NYERERE ndiye baba wa taifa kwelikweli, yaani mwasisi wa taifa letu, ameasisi Mambo mengi ambayo mpaka Sasa yanalifanya taifa kudumu katika amani na utulivu, siwezi kuyaeleza ni mengi Sana na wengi tunafahamu.
Bila kuwasahau marais wengine wastaafu michango yao ni mingi na muhimu Sana kwa taifa letu Kila mmoja kadri Mungu alivyomjalia kuitumikia nchi yetu.
Rais Samia ndiye mwenye usukani Sasa na rais wa Kwanza mwanamke Tanzania, ameingia madarakani katika kipindi ambacho nchi inauhitaji mkubwa Sana wa maridhiano ya kitaifa pia uhitaji wa katiba mpya.
Binafsi Mambo haya mawili ni muhimu sana hata Kama wapo wengine wanaosema katiba mpya isubiri Kwanza, vyovyote iwavyo Katiba Mpya inaweza kudumu kwa Karne nyingi Sana.
Endapo mama na Rais Samia atakubali kuanza mchakato na hatimaye awapatie watanzania katiba mpya basi atakuwa mwasisi wa taifa jipya na Bora la Tanzania yenye maridhiano, na hapo ndipo tutakapo ona maendeleo yanakuja kwa Kasi kwani maendeleo yanaletwa na watu wenye kuelewana, kushikamana na wenye siasa Safi.
Tukubali tukatae Tanzania yetu inahitaji katiba mpya na inawezekana wote CCM na vyama rafiki tukikubaliana kwa dhati.
Niwatakie Serikali na vyama rafiki mazungumzo mema yatakayoleta muafaka mzuri wa taifa letu.
[emoji1241]NINATAMANI KUIONA TANZANIA MPYA CHINI YA MWASISI MAMA YETU WA TAIFA MH. RAISI SAMIA SULUHU HASANI[emoji1241]
Hata mamlaka makubwa yanahitaji uwezo wa kuyatumia mamlaka hayo. Siyo kila mtu anao uwezo wa kufanya hivyo.Umeyasahau mamlaka makubwa ya raisi wa Tanzania?
rais Samia Ana weza kutumia mamlaka yake kuwaunga mkono watanzania kwan wanahitaji KATIBA mpyaHata mamlaka makubwa yanahitaji uwezo wa kuyatumia mamlaka hayo. Siyo kila mtu anao uwezo wa kufanya hivyo.
Mtu asiyekuwa na uwezo wa kuyatumia akilazimisha, yatamgeukia mwenyewe na kummaliza.
Sitakulaumu kama utashindwa kuelewa nilichoandika hapa.
Tuachane hapa, kwani mizunguko yote hii ya nini?rais Samia Ana weza kutumia mamlaka yake kuwaunga mkono watanzania kwan wanahitaji KATIBA mpya
Salaam.
Mwl J.K NYERERE ndiye baba wa taifa kwelikweli, yaani mwasisi wa taifa letu, ameasisi Mambo mengi ambayo mpaka Sasa yanalifanya taifa kudumu katika amani na utulivu, siwezi kuyaeleza ni mengi Sana na wengi tunafahamu.
Bila kuwasahau marais wengine wastaafu michango yao ni mingi na muhimu Sana kwa taifa letu Kila mmoja kadri Mungu alivyomjalia kuitumikia nchi yetu.
Rais Samia ndiye mwenye usukani Sasa na rais wa Kwanza mwanamke Tanzania, ameingia madarakani katika kipindi ambacho nchi inauhitaji mkubwa Sana wa maridhiano ya kitaifa pia uhitaji wa katiba mpya.
Binafsi Mambo haya mawili ni muhimu sana hata Kama wapo wengine wanaosema katiba mpya isubiri Kwanza, vyovyote iwavyo Katiba Mpya inaweza kudumu kwa Karne nyingi Sana.
Endapo mama na Rais Samia atakubali kuanza mchakato na hatimaye awapatie watanzania katiba mpya basi atakuwa mwasisi wa taifa jipya na Bora la Tanzania yenye maridhiano, na hapo ndipo tutakapo ona maendeleo yanakuja kwa Kasi kwani maendeleo yanaletwa na watu wenye kuelewana, kushikamana na wenye siasa Safi.
Tukubali tukatae Tanzania yetu inahitaji katiba mpya na inawezekana wote CCM na vyama rafiki tukikubaliana kwa dhati.
Niwatakie Serikali na vyama rafiki mazungumzo mema yatakayoleta muafaka mzuri wa taifa letu.
[emoji1241]NINATAMANI KUIONA TANZANIA MPYA CHINI YA MWASISI MAMA YETU WA TAIFA MH. RAISI SAMIA SULUHU HASANI[emoji1241]
Yeye hana uwezo wa "kutupatia" au "kutunyima" chochote.
Huo ni uamzi wa waTanzania wenyewe. Kinachokosekana tu, sasa hivi ni uongozi wa kuwatangulia wananchi katika kufikia lengo la kuwa na Katiba Mpya.
Katiba mpya ndio ajenda ya kitaifa asikuambie mtuKitu pekee ninachomshukuru Mungu, ni kuwa, hivi sasa vyama vyote,viongozi na waumini wa Dini zote, bodaboda,WAZEE Kwa vijana, wakulima, wafanyakazi,wafanyabiashara nk. vinaimba WIMBO wa KATIBA mpya.
Nuru inarudi tena ktk NCHI yangu niipendayo TANZANIA. Amen
Binafsi naamin wewe ndio uelewa wako mdogo Sana pamoja na kwamba unaweza ukawa mpinzaniTuachane hapa, kwani mizunguko yote hii ya nini?
Kiasi cha uelewa wako ndio huo, huna cha ziada ya kukupeleka mbele zaidi ya hapo.
Mama wa Taifa ni mjane mama MARIA NYERERESalaam.
Mwl J.K NYERERE ndiye baba wa taifa kwelikweli, yaani mwasisi wa taifa letu, ameasisi Mambo mengi ambayo mpaka Sasa yanalifanya taifa kudumu katika amani na utulivu, siwezi kuyaeleza ni mengi Sana na wengi tunafahamu.
Bila kuwasahau marais wengine wastaafu michango yao ni mingi na muhimu Sana kwa taifa letu Kila mmoja kadri Mungu alivyomjalia kuitumikia nchi yetu.
Rais Samia ndiye mwenye usukani Sasa na rais wa Kwanza mwanamke Tanzania, ameingia madarakani katika kipindi ambacho nchi inauhitaji mkubwa Sana wa maridhiano ya kitaifa pia uhitaji wa katiba mpya.
Binafsi Mambo haya mawili ni muhimu sana hata Kama wapo wengine wanaosema katiba mpya isubiri Kwanza, vyovyote iwavyo Katiba Mpya inaweza kudumu kwa Karne nyingi Sana.
Endapo mama na Rais Samia atakubali kuanza mchakato na hatimaye awapatie watanzania katiba mpya basi atakuwa mwasisi wa taifa jipya na Bora la Tanzania yenye maridhiano, na hapo ndipo tutakapo ona maendeleo yanakuja kwa Kasi kwani maendeleo yanaletwa na watu wenye kuelewana, kushikamana na wenye siasa Safi.
Tukubali tukatae Tanzania yetu inahitaji katiba mpya na inawezekana wote CCM na vyama rafiki tukikubaliana kwa dhati.
Niwatakie Serikali na vyama rafiki mazungumzo mema yatakayoleta muafaka mzuri wa taifa letu.
[emoji1241]NINATAMANI KUIONA TANZANIA MPYA CHINI YA MWASISI MAMA YETU WA TAIFA MH. RAISI SAMIA SULUHU HASANI[emoji1241]
Unamaanisha Nini unapoandika Mama yetu!Salaam.

Una maono ndugu hata Kama Kuna ugumu flani hivi kifkra lakini umeinyesha kwamba una ubongoCheo ni dhamana wala sio jina ukiweza kukitumikia cheo utapewa majina mengi hasa hapa TZ, we are very good in it ''Mama wa Taifa''. Angetupa Katiba mpya ingekuwa vema sana na aipe nchi ya Zanzibar serikali yao kamili na sisi Tanganyika tuwe na yetu kamili na ya tatu iwe federal Government. Hapo Angekuwa Mama wa Taifa na legacy hii isingefutika kamwe.