Rais Samia anasubiri nini kumshughulikia Humphrey? Urais wake unayumbishwa na huyu? Asijesema hatukumwambia!

Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Kafanyaje. Watz. Lissu akitukana shujaa. Wale wa form two against mkuu wa shule au System ya sheria. Huyu jamaa toka miaka hiyo alikuwa muongeaji. Wivu watanzania. Chuki. Wivu ndo msingi wetu.
 
CCM kuna freedom of speech siyo Chadema ukienda kinyume na Mwenyekiti wa kudumu Gaidi Mbowe maisha yako yanakuwa hatarini.
Sawa nani aliyemwekea Mangula sumu na kwann?

Korimba he
Kombe he

Freedom of speech ya CCm ni kunengua taarabu labda?

Unakumbuka yule chizi aliyekufa kibudu alishawahi sema wale walioimba wana imani na Lowasa angekuwa m/kiting angewapoteza?

Unajua freedom of speech wewe au unakariri ile ya civics form 2?
Hovyooo!

Ati freedom of speech ccm? Kawadanganye huko fb ndugu
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Amemtukana nani, anamdharau vipi Rais?

Nini maana ya uhuru wa habari, mawazo mbadala, haki za kibinadamu, demokrasia?

Kwanini usianzishe kipindi chako kumpinga, kupangua hoja zake, kiwe na mvuto zaidi, ukiwa upande wa wananchi wengi haimaanishi unatukana, inamaanisha unawasemea, unasema ukweli kuwakilisha mawazo, maoni, kero za maskini, wasio na elimu, Watanzania wengi.

Akiongelea kuhusu, maji, umeme, gas, chakula, vifaa vya ujenzi, rushwa, mikopo, uongozi bora anajitahidi kwa namna yake kuisadia jamii, Watanzania wengi.

Mwambie mama amtumie kigogo, mange, wewe kuanzisha channel ya kumtukana. Wabobezi kwenye hiyo sekta hiyo.
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Exactly, Polepole apewe case akafie jela mbwa yule
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Kafanyaje kwani
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Unataka wamfanye kama Kolimba??--- CCM ya mnyukano imeenda zake na Mwedazake tumuache awe huru kutoa maoni yake kama Mtz na Mwana CCM huru.

Msipokubali mawazo huru na kukosolewa na mkajiona nyinyi ndio kwa kila kitu bila kujirekebisha basi CCM mmekwisha.
 
Kelele za Humphrey ni ushahidi tosha kuwa Mama wa Kiunguja anatumia style ya Msoga anaku fix huku anakuonesha 'diplomatic smile'

Pwani hawafoki foki wala kukunja uso waki deal na wewe
 
Samia aonyeshe ukomavu na uvumilivu, freedom of speech ambayo iliyokuwa ikipigwa vita na akina polepole kipindi cha Awamu ya Tano ndio hiyo anayoitumia sasa.

Polepole ni Kiazi.
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Kafanyaje kwani???
 
Sawa nani aliyemwekea Mangula sumu na kwann?
Korimba he
Kombe he
Freedom of speech ya CCm ni kunengua taarabu labda?
Unakumbuka yule chizi aliyekufa kibudu alishawahi sema wale walioimba wana imani na Lowasa angekuwa m/kiting angewapoteza?
Unajua freedom of speech wewe au unakariri ile ya civics form 2?
Hovyooo!
Ati freedom of speech ccm? Kawadanganye huko fb ndugu
Una mkumbuka Chacha Wangwe?
 
Hii sio awamu wa kushughulikiana..

Utakuwa mwendawazimu kudhani Raisi wa nchi ya dunia ya tatu kukaa kimya ni kumuogopa raia anayebwabwaja na asiye na impact yoyote.

Akihatarisha usalama hapo atashughulikiwa ASAP..lakini hii kubwabwaja tu aachwe akichoka atakaa kimya au atakuja kufunguliwa kesi atulie kama Musiba.
Kumbe Chadema inaimpact kubwa japo imekufa!
 
Polepole amyumbishe rais?? Hawezi hata kumyumbisha rais wa daruso huyo. Fitna sake zitaisha muhimu apuuzwe
 
Una mkumbuka Chacha Wangwe?
Namkumbuka
Wewe unamkumbuka sokoine?
Horace korimba?
Arman kombe
Ben Sanane
Anzory Gwanda
Alphonso mawazo
Akwilin Akwilin
Maiti zilizookotwa mto ruvu na Bahrain?
Unakumbuka Madeira ya watu huko MKIRU?
Nani basi aliyemwekea sumu mzee Mangula???
PIP Hamza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom