Ni Mama wa Msimbazi huyo.
Msimu uliopita alitaka kuja uwanjani Kuangalia game ya Simba na Yanga. Hakujua kanuni zipoje, yeye siku ya mechi akaagiza TFF isogeze muda ili Mechi ianze saa Kumi na Moja, ili akishazindua kitabu cha Mzee Mwinyi aje uwanjani.
Kilichotokea - Yanga walisusa kucheza saa 11.
Mwaka huu kaona Simba Queens inashiriki Cecafa women's cup, yeye kakubali kufadhili fedha za mshindi. Timu yake anayoishabikia ikaambulia nafasi ya nne.