Kabisa bila pesa za waarabu wa Oman itakuwa vigumu kwa bibi kupenya 2025.Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.
Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.
Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.
Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.
Hivi sasa mama anatapatapa, hajui amuamini nani na nani asimuamini. Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.
Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025
Acha Utahila wewe,Polisi wako,unatuogopa sisi kwa maneno tuu unakimbia kimbia kutuzuia tusiende Mbeya.AjabuUNAOTA NDUGU YANGU,AMKA HARAKA SANA KABLA HUJAJINYEA HAPO KITANDANI,PRESIDENT SAMIA PANAPO MAJALIWA YA UHAI MWAKANI MAPEEEEMA TUH AMALIZA MCHEZO,KWA UPINZANI GANI KWA MFANO,WA MBOWE??
Wewe kama una asili ya Tanganyika ni mpumbavu.UNAOTA NDUGU YANGU,AMKA HARAKA SANA KABLA HUJAJINYEA HAPO KITANDANI,PRESIDENT SAMIA PANAPO MAJALIWA YA UHAI MWAKANI MAPEEEEMA TUH AMALIZA MCHEZO,KWA UPINZANI GANI KWA MFANO,WA MBOWE??
ACHENI UJINGA CHADEMA,GEN Z YA KENYA AMBAYO MNATAMANI KUWA KAMA WAO HAWANA AFFILIATION NA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI,PAMBANENI NA HALI ZENU,SAISA ZA MAANDAMANO AMBAZO MMEZOEA HAZINA TIJA TENA,SIASA ZENU NI ZA KISHAMBA SANA.Acha Utahila wewe,Polisi wako,unatuogopa sisi kwa maneno tuu unakimbia kimbia kutuzuia tusiende Mbeya.Ajabu
SASA WEWE KWA AKILI YAKO UNAWEZA MPA NCHI MBOWE AU TUNDU LISU??WAPINZANI TUNAWAHITAJI SANA NCHI HII,ILA HAWA TULIONAO NI WEZI TUH NA WAFIA NJAA.Wewe kama una asili ya Tanganyika ni mpumbavu.
Tutakukaza wewe na Polisi wako this timeACHENI UJINGA CHADEMA,GEN Z YA KENYA AMBAYO MNATAMANI KUWA KAMA WAO HAWANA AFFILIATION NA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI,PAMBANENI NA HALI ZENU,SAISA ZA MAANDAMANO AMBAZO MMEZOEA HAZINA TIJA TENA,SIASA ZENU NI ZA KISHAMBA SANA.
Wakuitoa CCM madarakani bado hayupoWahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.
Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.
Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.
Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.
Hivi sasa mama anatapatapa, hajui amuamini nani na nani asimuamini. Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.
Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025
Matumaini yake yako kwa polisi! anafanya haya kwa nguvu/matumaini ya kutumia polisiWahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.
Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.
Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.
Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.
Hivi sasa mama anatapatapa, hajui amuamini nani na nani asimuamini. Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.
Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025
Mjadala ni Samia na urais 2025, si ccm. Tuna zaidi ya mwaka kuufikia uchaguzi mkuu mwakani, kisiasa ni muda mrefu sana.Wakuitoa CCM madarakani bado hayupo
Unajifariji na unamfariji badala ya kumwambia hali halisi. Na huo ni uchawa wa kumharibia Samia. Hali siyo shwari ndo ukweli na siyo kwa sababu ya Mbowe kama unavyoweweseka. Anzia ndani ya chama. Wengi wanaomzunguuka ni wanafiki wanamshangilia na kumsifia Kwa unafiki. Ukiona tu matamko ya kukutajataja kuwa makini wabongo siyo! Steve Nyerere alisema WAJUMBE SIYO WATU.UNAOTA NDUGU YANGU,AMKA HARAKA SANA KABLA HUJAJINYEA HAPO KITANDANI,PRESIDENT SAMIA PANAPO MAJALIWA YA UHAI MWAKANI MAPEEEEMA TUH AMALIZA MCHEZO,KWA UPINZANI GANI KWA MFANO,WA MBOWE??
Tunakoelekea Kila mtu atakuwa adui yake hata tume ya uchaguzi inaenda kuwa aduiWahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.
Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.
Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.
Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.
Hivi sasa mama anatapatapa, hajui amuamini nani na nani asimuamini. Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.
Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025
Kama samia anaogopa kongamanonla vijana wa cdm huyu anaweza shinda uchaguzi kweli??UNAOTA NDUGU YANGU,AMKA HARAKA SANA KABLA HUJAJINYEA HAPO KITANDANI,PRESIDENT SAMIA PANAPO MAJALIWA YA UHAI MWAKANI MAPEEEEMA TUH AMALIZA MCHEZO,KWA UPINZANI GANI KWA MFANO,WA MBOWE??
Hivi GEN-Z wamefaulu au wamefeli kuliokoa taifa na ile Sheria mbovu? Na ufisadi uliotishia taifa? Kama ujumbe ulifika na utekelezaji umefanyika basi wapewe hongera Kama ilikuwa kwa nia njema. Ila unapoponda watu wanaotetea kusiwe na Mikataba mibovu na kusiwe na wizi na huduma za msingi tupate, wewe ndo tunakushangaa. Kisichotakiwa ni kuvunja amani. Niambie ni amani gani iliyovunjika? Na kama walivunja amani Kwa nini waachiwe wasifunguliwe mashtaka? Hebu tuheshimu utawala wa Sheria kulinda amani. Wengi mnavuruga mambo kumharibia Samia wetu ionekane mnamtetea kumbe kitaifa na kimataifa mnamharibia.ACHENI UJINGA CHADEMA,GEN Z YA KENYA AMBAYO MNATAMANI KUWA KAMA WAO HAWANA AFFILIATION NA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI,PAMBANENI NA HALI ZENU,SAISA ZA MAANDAMANO AMBAZO MMEZOEA HAZINA TIJA TENA,SIASA ZENU NI ZA KISHAMBA SANA.
Hao CCM siyo wezi? Kwanza wizi wanaanzia kwenye kura. Na ukiona mtu analazimisha kuchaguliwa lazima afanye nguvu ya kufidia. Unajitoa tu akili na majina ya Mbowe na Lissu yanakuchanganya na bado utaweweseka sana. Mnavyochukuaga wapinzani mnawapa vyeo CCM hakuna watu wenye uelewa? Na si ndiko mnasema kuna watu wengi? Amka wewe. Vichwa viko upinzani. Endelea kuwapigia makofi kina Esther luxury bus wanaendelea kuongeza mabasi.SASA WEWE KWA AKILI YAKO UNAWEZA MPA NCHI MBOWE AU TUNDU LISU??WAPINZANI TUNAWAHITAJI SANA NCHI HII,ILA HAWA TULIONAO NI WEZI TUH NA WAFIA NJAA.
HALI HALISI GANI UNAZUNGUMZIA??NCHI IKO SALAMA,UCHUMI UKO IMARA NA MAISHA YANASONGA VIZURI TUH,,SHIDA IKO KWAKO WEWE UNAEMTEGEMEA MBOWE NA LISU WAKUPE MAISHA BORA.Unajifariji na unamfariji badala ya kumwambia hali halisi. Na huo ni uchawa wa kumharibia Samia. Hali siyo shwari ndo ukweli na siyo kwa sababu ya Mbowe kama unavyoweweseka. Anzia ndani ya chama. Wengi wanaomzunguuka ni wanafiki wanamshangilia na kumsifia Kwa unafiki. Ukiona tu matamko ya kukutajataja kuwa makini wabongo siyo! Steve Nyerere alisema WAJUMBE SIYO WATU.