Rais Samia anaiua CHADEMA polepole


Mtaongea yote. Kipindi CHADEMA waanaandaa maandamano ya ukuta mliwacheka na kuwakebehi, mpaka JWTZ na Polisi wakaingia mitaani kutoa vitisho. Mwisho wa siku kilitokea Nini?

CHADEMA haipo bungeni Wala halmashauri Wala kwenye mitaan na vijiji ila haijafa. Magufuli alitumia kila njia Hadi kununua wabunge ila kafa kaiacha CHADEMA inadunda.
 

CHADEMA umeombewa kifo enzi na enzi ila Bado ipo.
 
Mmealikwa watu 18 kwenye sherehe, 17 mnawekwa chini ya mwembe Kwa majadiliano, mmoja anaitwa ndani Peke yake na bado anajitikeza Zuzu anasema aliyeitwa Peke yake harhaminiwi?
 
Rais Samia anastahili pongezi sana. Hataki kuwaskiliza hawa chawa hata kidogo, maana hawana jema. (na hii ndiyo siri ya mafanikio yake). Chawa wanaumia kwa mh raisi kuwaunganisha wa-tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…