Rais Samia anaiua CHADEMA polepole


Wewe mnafiki ndio maana umepata kura moja. Aliyeenda Ikulu ni Mbowe au aliitwa na mama ikulu?. Mama kamatangaza Mbowe gaidi hadharani kaona kakosea kamwita Mbowe kuomba radhi , shida ipo wapi?.

Punguza roho mbaya wewe.
 
Hujui lolote.
 
kashindwa MEKO atawezaje huyu anaeburuzwa na mzee wa msoga?
kweli nimeamini mgeni wenu huyu hakukosea kuwaita 🐮 🐮 🐮
 

Katiba mpya imeruhusiwa, kwa hivyo tunasubiri ndani ya mwezi huu kamati iundwe kuto mwongozo. Halafu usiongelee mambo ya kesho huyajui
 
Hivi CHADEMA itakufa lini?
Maana kila kiongozi wa CCM huwa anasema CHADEMA itakufa/imekufa,
Mbona haifi sasa?
Tuwape miaka mingapi ili ife kabisa?.
 
Dah! Kumbe majamaa yaligonga Alkasusu, lazima Mnyika alimuambia muhudumu ampelekee urojo na juisi ya miwa
 
Wewe mnafiki ndio maana umepata kura moja. Aliyeenda Ikulu ni Mbowe au aliitwa na mama ikulu?. Mama kamatangaza Mbowe gaidi hadharani kaona kakosea kamwita Mbowe kuomba radhi , shida ipo wapi?.

Punguza roho mbaya wewe.
Huyu atakuwa mhutu kama mwendazake, sisi Wasukuma hatunaga roho mbaya hivi
 
Unayesema anaua na kuteka na huyu wa maridhiano alikuwa ughaibuni?
 
Umejitajidi sana kujionyesha ulivyo. Waswahili wamenena "DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE"
 
Wakuiua CHADEMA alishakufa...
 
ALIYEKUFUNDISHA kunya njia panda alikuachia mkosi mkubwa
 
Ndani ya miaka 6 hii,nitajie maovu ambayo chadema imeyapinga hadharani.

Todauti na kujipigania yenyewe kama yenyewe?

Chadema si ndio iligeuka kuwa mtetezi wa mafisadi na ACACIA?

Tundu lissu si ndio huyo huwa akishangilia mali zetu zikikamatwa ughaibuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…