kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wabunge wenyewe hawawezi kumuondoa?Ivi hakuna namna mama Samia anaweza fanya huyo Nduugay akaondolewa kwenye iyo nafasi, then nafasi yake ikachukuliwa na Naibu wake, maana naona kabisa Nduugay anataka kuuchafua utawala wa Rais aliyepo, maana ye bado yupo na fikra za tawala ya kiimla iliyopita,
Mama inabidi afanye umafia fulani uyu mtu apigwe chini
Sijajua mkuu!!!,Wabunge wenyewe hawawezi kumuondoa?
Theoretically separations of power ipo ila deep down mihimili imezidiana “kujichimbia chini”"Mihimili mitatu yenye nguvu sawa". Rudia somo la uraia
Kafanyaje?Huyu spika ni tatizo kubwa sana hapa nchini..
Hakuna muhimili zaidi ya mwenzake,ukiona mmoja umezidiwa nguvu ujue top gun wa huo muhimili hajitambui au hajui nguvu aliyokua nayo...executive orders zina mipaka yake na ni almost ineffective on the long run...Theoretically separations of power ipo ila deep down mihimili imezidiana “kujichimbia chini”
Executive ina executive orders (rejea maamuzi ya Trump)
Huyo Spika Bogus sanaHuenda Ndugae ana nguvu zaidi ya Rais wetu