Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa .
Si kweli kwa maoni yangu kwamba proffessor Palamagamba ,Willium Lukuvi,Goefrey Mwambe,Kitlya Mkumbo,na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.
Kwanza kuutamani urais si dhambi .hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)
Tujiulize ,hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?
Rais ameingizwa chaka ,katoa wasaidizi muhimu ,na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.
Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea soon