Rais Samia ana sifa zipi za kuitwa nahodha wa jahazi hili? Tunatembea kwa taabu mno kwa spidi ya 25-30km/hr

Rais Samia ana sifa zipi za kuitwa nahodha wa jahazi hili? Tunatembea kwa taabu mno kwa spidi ya 25-30km/hr

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
2,266
Reaction score
4,427
Kuna mti mkubwa wenye kivuli, lakini mizizi yake inanyonya maji yote ya shamba.

Nyuki wanapiga kelele juu ya tunda moja tu, ila mashamba mengine yanakauka.

Wazee wa baraza wanapiga mihuri bila kuangalia macho ya watoto wanaocheza uwanjani.

Na sisi vijana tumebaki kama watazamaji wa maigizo, kila kipande kinaisha bila kuuliza nani aliandika script.

Je, ni lazima tuendelee kula ugali wenye chumvi nyingi hata kama supu ni chungu?

Fikiria Nahodha wa jahazi hili 😔
 
Back
Top Bottom