Rais Samia Amewatetemesha Watanzania

Rais Samia Amewatetemesha Watanzania

Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Mambo ya siasa
Unafurahia Makonda kutenguliwa baada miezi sita unasikia ameteuliwa kuwa Waziri
 
Makonda sehemu anapostahili kuwa ni gerezani akisubiria kunyongwa hadi afe.
 
Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Kwani Makonda katenguliwa? Au umewwhuka?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni kishindo, ni gumzo mtaani ,ni kila mtu na neno lake,ni kila mtu na uchambuzi wake,ni kila mtu na mtizamo wake. Nchi imesimama,nchi imetetemeka,nchi imepiga saluti kwa Rais Samia, Watanzania wanatetemeka. Lakini Taifa ni Salama na watanzania ni Salama salimini. Ni uteuzi na utenguzi wa aina yake uliofanywa na Rais wetu na Jemedari wetu mpendwa na kipenzi cha watanzania katika namna iliyozima habari zote kuanzia za michezo mpaka siasa.watu wamekesha macho mitandaoni utafikiri kengele au filimbi ya hatari imepigwa katikati ya makazi ya watu.Tangia uteuzi na utenguzi ulipotoka mitandaoni kwote kumetekwa na Rais Samia.

Kwa kweli Rais Samia ameisapraizi Tanzania Katika wakati ambao watanzania walikuwa wapo Bize na habari za Simba na Yanga ,lakini ghafla habari zikabadilika na kuzisahau kabisa habari hizo na kubakia na habari moja tu kuu ya Rais Samia na uteuzi pamoja na utenguzi. Ni mama wa Aina yake ,ni Rais Wa maamuzi,Ni Rais wa mipango , mikakati,mbinu na medani za kivita. Ni Rais jasusi wa kiwango cha DUNIA,Ni komando wa siasa na mipango mikakati ya kisiasa. Ni Rais aliyeiva na kukamilika katika kila idara.ni Rais aliye mbele ya wakati.

Ni Mwenyekiti imara,hodari, shupavu na madhubuti sana.ni kiongozi na nusu,Rais Samia anabakia kuwa Rais Samia asiye na mfano wake.mpime katika mizani ya aina yoyote ile utamkuta anabakia kuwa yeye kama yeye Mwamba usio tikisika,field Marshall kutoka Tanzania, jasiri muongoza njia, simba wa nyika na shujaa wa Afrika. Ni nahodha imara anayeijuwa vyema bahari anayopita na aina ya mawimbi yake.

Taifa lipo katika mikono Salama ya Daktari Samia Suluhu Hasssan likiwa na afya njema na utulivu mkubwa sana. Huwezi ukatamani kuhama Tanzania ya Rais Samia. Uende wapi? Ukatafute nini kisichopatikana katika ardhi ya Rais Samia? Songa mbele Mama yetu na Rais wetu, Taifa lina imani kubwa sana na wewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2949718View attachment 2949719
Hawajabubujika tena?😂😂😂
 
Mtego wa Makonda unamfanya kila mtu asahau mambo ya msingi, yaani ccm haitoki leo au kesho, wanajua kucheza na akili zetu. Mambo ya CAG na report yake yenye uchafu sehemu zote imefunikwa na teuziya Makonda.

Bado safari yetu ni ndefu.
Acha uongo....tangu lini Ccm imesimamia Ripoti ya cag hadi usema makonda kaja kuvuruga?
 
Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Maluelue na mabalaa yanamfata kila alipo.

Alienda kwa
 
Acha uongo....tangu lini Ccm imesimamia Ripoti ya cag hadi usema makonda kaja kuvuruga?
Unasoma kwa mihemko sana, wapi nimesema ccm inasimamia ripoti? Unajua maana ya kutoa watu kwenye agenda? That's what ccm is doing.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni kishindo, ni gumzo mtaani ,ni kila mtu na neno lake,ni kila mtu na uchambuzi wake,ni kila mtu na mtizamo wake. Nchi imesimama,nchi imetetemeka,nchi imepiga saluti kwa Rais Samia, Watanzania wanatetemeka. Lakini Taifa ni Salama na watanzania ni Salama salimini. Ni uteuzi na utenguzi wa aina yake uliofanywa na Rais wetu na Jemedari wetu mpendwa na kipenzi cha watanzania katika namna iliyozima habari zote kuanzia za michezo mpaka siasa.watu wamekesha macho mitandaoni utafikiri kengele au filimbi ya hatari imepigwa katikati ya makazi ya watu.Tangia uteuzi na utenguzi ulipotoka mitandaoni kwote kumetekwa na Rais Samia.

Kwa kweli Rais Samia ameisapraizi Tanzania Katika wakati ambao watanzania walikuwa wapo Bize na habari za Simba na Yanga ,lakini ghafla habari zikabadilika na kuzisahau kabisa habari hizo na kubakia na habari moja tu kuu ya Rais Samia na uteuzi pamoja na utenguzi. Ni mama wa Aina yake ,ni Rais Wa maamuzi,Ni Rais wa mipango , mikakati,mbinu na medani za kivita. Ni Rais jasusi wa kiwango cha DUNIA,Ni komando wa siasa na mipango mikakati ya kisiasa. Ni Rais aliyeiva na kukamilika katika kila idara.ni Rais aliye mbele ya wakati.

Ni Mwenyekiti imara,hodari, shupavu na madhubuti sana.ni kiongozi na nusu,Rais Samia anabakia kuwa Rais Samia asiye na mfano wake.mpime katika mizani ya aina yoyote ile utamkuta anabakia kuwa yeye kama yeye Mwamba usio tikisika,field Marshall kutoka Tanzania, jasiri muongoza njia, simba wa nyika na shujaa wa Afrika. Ni nahodha imara anayeijuwa vyema bahari anayopita na aina ya mawimbi yake.

Taifa lipo katika mikono Salama ya Daktari Samia Suluhu Hasssan likiwa na afya njema na utulivu mkubwa sana. Huwezi ukatamani kuhama Tanzania ya Rais Samia. Uende wapi? Ukatafute nini kisichopatikana katika ardhi ya Rais Samia? Songa mbele Mama yetu na Rais wetu, Taifa lina imani kubwa sana na wewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2949718View attachment 2949719
Takataka tu hakuna hoja yenye mantiki
 
Pamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapi, kaenda mpaka kwenye kaburi la Nyerere, lakini waaapi, mpaka la Mzindakaya lakini waaapi
Sasa ataenda la Sokoine Monduli juu,baada ya hapo Kisongo akarushe ndege
 
Makonda kashafanya kazi yake anapewa mission ingine mazee
 
Mheshimiwa Makonda ni mchapakazi sana tena sana na ndio maana anaendelea kuaminiwa na Mheshimiwa Rais na kupewa jukumu la kumsaidia kuongoza jiji la Arusha.jiji la kitalii na la kipekee kabisa na la kimkakati kabisa katika uchumi wetu
Sababu za kuondolewa kwenye uenezi ni zipi kama ni mchapakazi sana??
 
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu si unajua kuna mikeka kama miwili inakuja mwezi ujao
 
Back
Top Bottom