Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kuwa Wanawake wanaweza. Hongera sana Rais Samia

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..

Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.

Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
 
Kabisa
Wanawake wanaweza, kaweza kuua watanganyika wengi zaidi kuliko yeyote yule aliepita
 
Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..

Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.

Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Umeshampigia kura, the best TRYANT OF THE YEAR 2025, hapa hana mpinzani, lazima aondoke na 100%. Wengi wetu tumeshapiga kura tayari.
 
Wakishapiga kura, na sisi tutawaongezea za ziada, Samia lazima abebe hiyo tuzo. It fits her well
Inaweza kuibuka taasisi nyingine ikaweka majina kumi na kusema piga kura ya rais bora wa mwaka na samia akawemo na pia akashinda,
So hapo kwenye kura hamna shida ni maoni tu yanaweza kuwa ya ubora au sio ubora inategemea na taasisi tu, na taasisi nyingi tu
 
Labda uweke wewe, au CCM, ila Taasisi zinazojitambua haziwezi kumuweka kwenye hiyo list, she is a blood killer. Unadhani kuua watu 10000 ndani ya saa 72 ni mchezo?
 
KATIBA NI KITABU NA KARATASI

WHAT MATTER MOST IS integrity
Bunge la katiba ni upigaji tu ule bora hiyo Hela iongeze ruzuku za pembejeo za kilimo, iongeze mishahara watu wawe na Hela mitaani tuendelee kutamba na Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
 
Labda uweke wewe, au CCM, ila Taasisi zinazojitambua haziwezi kumuweka kwenye hiyo list, she is a blood killer. Unadhani kuua watu 10000 ndani ya saa 72 ni mchezo?
Hata hayo ni maneno tu unasema, ukiambiwa ushahidi hauna,
Yeyote anaweza kusema,
Ni kazi ya mdomo

Mama anatosha
 
Back
Top Bottom