Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Nitajie Raisi alietoka madarakani bila kuua?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] taja list ya walioumizwa na Samia, hata Mello wa JF unayotumia kuandika upupu, alikaa jera miezi ya kutosha.
 
Taja listi ya watu 5 aliowaua na ushidi wake
Ben saanane

Azory gwanda

Nk. Na aliowatesa nusura wafe ni hawa;

Mbowe(filisiwa vibaya Sana)
-sugu(fungwa)
-Lema(fungwa)
-Lissu(unajua)
-Manji(filisiwa)
-Ben saanane, Lwajabe, Kanguye,azory Gwanda, Akwilina(uliwa)
-malinzi, Rugemalira,
-Mo, Roma, Nondo, Tito magoti, mdude(walitekwa)
- wafanya bihashara kufilisiwa,n.k
 
Jamaa alikuwa hopeless kabisa
Laiti kama Mwendazake angekuwa ndio kafa harafu Serikali haijazindua ujenzi wa vipande vingine vya SGR wangeishia pale pale Morogoro au Dodoma afu pesa zikafanye mengine..

Huwezi Jenga reli wakati huna uchumi wa kujenga wala wa ku feed,matokeo yake itakuwa ni tembo mweupe..

Ndio maana nilipenda idea ya JK ya kutumia PPP Ili Mchina ajenge mwenyewe na a operate kwa sababu yeye kama investor angefanya juu chini kuhakikisha anatafuta mzigo wa kuifanya isimtie hasara Kwa kushawishi wenzao waje Tanzania na pengine angeiunga na Nchi jirani kwa Pesa zake..

Na uzoefu umeonesha mashirika ya serikali huwa ni hasara tuu,imagine DART imeshindikana sembuse sgr?

Subirini ikamilike mtaona,itakuwa kama ATCL na wimbo utabadilika kwamba reli ni huduma.
 
Mkuu tuambie alichotulisha matango pori hapo.
Kwanza ya yote je tunaamini benki kuu ya dunia na imf haziwezi kudanganya?

Kama haziwezi kudanganya,Tanzania ilitangazwa kuwa katika kundi la "lower middle income country"(nchi yenye uchumi wa kati wa chini).

Kigezo cha kuwa katika kipengele hiki GDP kwa mwaka kwa kila mwananchi ni $1036 hadi $4045.

Tukiangalie kiwango cha chini yaani $1036 kwa mwaka kwa kila mwananchi.
$1036 × 2350(approx.)=Tshs.2,434,600/=

Tshs.2,434,600/= ÷ 12(miezi)=Tshs.202,883.3/= kwa mwezi.

Tshs.202,883.3/= ÷ 30.3(wastani wa siku katika mwaka)=Tshs.6695.82/= kwa siku.

Tshs.6695.82/= =$3 approx.

HITIMISHO:
Mwananchi mmoja kwa mwaka;$1036
Makadirio ya idadi ya watanzania ni milioni 60
$1036× 60,000,000=$62,160,000,000/=

Mleta mada anatuambia Magufuri alifeli katika uchumi kuliko awamo iliyopota ya Jakaya Kikwete na kusema tupo chini ya $70b.

Ni kweli tupo chini ya $70b. Lakini hapa Magufuri hakushindwa uchumi licha ya kuwa na $62b. Bado ni katika kipengele cha nchi zenye uchumi wa kati wa chini na siyo "third world country".

Hata Kenya yupo nchi zenye uchumi wa kati wa chini akiwa na GDP$98.84b. na GDP per capita $1838(approx.)

NB:Iweje Magufuri aingize nchi hii kwa mara ya kwanza kipengele cha nchi zenye uchumi wa kati wa chini tuseme amefeli?

Kama jibu ni kuwa kuna masikini wanaishi chini ya dola moja na watu wasio na ajira ilhali kuna matajiri kama bakhresa na MO.Basi jua ya kuwa hata marekani U.S.A
kuna watu masikini wasio na makazi na ni ombaomba ilhali kuna matajiri kama Jeff Bezel na Elon musk.

#Maoni yangu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220601-120213.jpg
    91.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220601-121927.jpg
    83.1 KB · Views: 13
Umeambiwa utoe ushaidi mkuu ili tuamini hayo unayoyasema ulishuudia au uliambiwa/kusikia tu.
 
Akifanikiwa kurudisha Bei ya Petrol irudi 1800, Kutoka 3000 ya sasa, ntaamini Kweli Anaupiga mwingi''
 
Mnataka marehemu wasisemwe?
Imeandikwa biblia gani au kurani gani?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
MACHINGA
UFISADI NCHINI
MIRADI HAIKAMILIKI KWA WAKATI
HAKUNA NIDHAMU YA KAZI SASA IVI
UTEUZI WA MICHONGO(MFANO BIBI MZEE ALIMFUNDISHA LEO UNAMTEUA BILA KUFATA SHERIA ZA NCHI UTEUZI
ACHANA NA HAO WASIOFATA SHERIA ZA NCHI MAFISADI
 
I second him kwenye mradi wa Bwawa la umeme tuu,vingine vyote ni vidogo vidogo hata haifai kujisifia..
Unaponishangaza ni pale unapochanganya maslahi binafsi na mustakabali wa nchi.

Usijaribu kusimulia vitu ambavyo kila mwenye macho na 80% ya wananchi hawavijui wala kuelewa.

Maslani kama unadhani barabara ni bora zaidi, mbona mmekopa pesa kwaajili ya kujenga madarasa hewa badala ya barabara au maabara za utafiti magonjwa? Kwakuwa mlisema korona ni kubwa, mkaishia kujenga madarasa hewa na sio ku-combat hicho mlichoona ni janga.

Tusimulie kuhusu vidogo vidogo na vikubwa vikubwa.
 
Kusema kweli Mwenyezi Mungu alitufanyia upendeleo wa kipekee Watanzania March 17 kwa kutuondolea lile jinamizi bila hata tone la damu kumwagika.
 
Na wewe kiroboto unafutaje ugali wako? Kwa kwenda kufanya usafi kwenye kaburi kule Chato?
 
Umesema ukweli mtupu. Halafu Samia amefungua uhuru wa maoni na kusema. Wakumponda wanamponda, na wa kumpongeza wanampongeza pia. Siyo Magufuli ambaye aliishia kusaka watu mitaani na mitandaoni ya wanaomkosoa.

Tanzania iko mikono salama na Rais Samia
 
Nitaandika kitabu kuelezea ujinga wa mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…