PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.

Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.

Rais Samia wakati kaifungua Bunge ameomba watu wote Bungeni wasimamae kwa dakika moja na kuomba waombewe waliopoteza maisha kwenye maandamano.

Wakari huo amesema kuwa "Tumuombe Mwenyezi Mungu aziweke roho za waliopoteza maisha kwenye maandamano siku ya uchaguzi, mahali pema peponi"
 
Rais Samia amsema natoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
 
Duh ulikuwa umesuniri kwa hamu. Wewe ndo upo kule jukwaa lenye vioo bungeni?
 
Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.

Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩
 
Back
Top Bottom