Rais Samia Akutana na Putin, Kremlin

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
562
Reaction score
522
Wakati wa ziara yake nchini Urusi, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin huko Kremlin Moscow. Mazungumzo yatazingatia kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ikiwemo biashara, uwekezaji, elimu, sayansi, teknolojia, nishati, madini na miundombinu.

#TanzaniaRussiaRelations
Ziara Ya Kihistoria

TanzaniaInasongaMbele
 
Amwandalie hifadhi
 
Nauliza kuhusu Marais wa TZ kwenda urusi!
wa Burundi, Kenya au Uganda hutaki kujua right?

Rais Vladimir Putin amepata baadhi ya mafunzo ya kijeshi na kijamaa Tanzania, nadhani alitarajiwa yeye kuzuru Tanzania mara nyingi zaidi 🐒
 
wa Burundi, Kenya au Uganda hutaki kujua right?

Vladimir Putin amepata mafunzo ya kijeshi Tanzania, nadhani alitarajiwa yeye kuzuru Tanzania mara nyingi zaidi 🐒
Unatumajibu, gentleman!
 
Inafurahisha sana sema waliotufanya watumwa hawatafurahishwa
 
Nitafurahi sana akipewa kikombe cha chai na bwana Putin
 
Hawa wanaendana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…