Rais Samia akutana na Mwigulu, Ashatu Kijaji, TRA katika Kikao Maalum Ikulu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,821
12,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiongozwa na Kamishna Mkuu Alphayo Kidata pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023.

f3580160-b9e9-4747-9dda-f50caa329da3.jpg

e1dd5e55-1ea9-44e2-a68c-8af1d8695bf6.jpg

c35b59f2-dea7-46b2-87c3-db31aabc8257.jpg

357b0a4a-2ec6-4d26-a4a3-f992220c10ae.jpg

77f08480-c006-4a6d-9b10-7dcbe5ddc197.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiongozwa na Kamishna Mkuu Alphayo Kidata pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023.

View attachment 2627211
View attachment 2627213
View attachment 2627214
View attachment 2627218
View attachment 2627216
Aendelee kuwalea tu,jasiri haachi asili
 
Napenda anavyofanya dialogues, yaani kusikiliza kila hoja.

Sipendi ambavyo hachukui actions, binafsi sioni actions anazochukua kwa watendaji wa hovyo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiongozwa na Kamishna Mkuu Alphayo Kidata pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023.

View attachment 2627211
View attachment 2627213
View attachment 2627214
View attachment 2627218
View attachment 2627216
Ameamua kukaa na wezi wenzie tofauti na kibaka au panya rod ni hzio tai ni hizi tai pekee
 
Madelu pamoja na kuendelea kutolewa povu kuanzia na wananchi wa kawaida, wabunge hadi wafanyabiashara naona yupo tu na tai yake.
 
Yule mwananchi yeye hajui tu!

Ilitakiwa aseme hivi:

"TRA kiburi chao wanakipata toka kwa boss wao Mwigulu,
Mwigulu kiburi chake anakipata toka kwa boss wake Samia."
 
Mliokuwa mnasubiri Mwigulu atumbuliwe mtasubiri sana
Kweli kabisa. Kama hakutumbuliwa alipowaambia raia wenzake wahame nchi na kurudia kauli hiyo mara kadhaa maana yake hatumbuliki (indispensable). Kama hiyo haikutosha akawaita wabunge wenzake waganga wa kienyeji! Cha kusikitisha zaidi hata Bunge lenyewe likashindwa kumkaripia! Kila zama na kitabu chake. Mama amesahau kuwa alituahadi kuwa katika uongozi wake atakuwa anatazama mabega ya watendaji wake! Au pengine tunakosea kudhani kuwa wanaonyeshwa kiburi hiki na dharau ni raia wazalendo wa nchi hii, kumbe ni wafuasi wa vyama shindani!
 
Mliokuwa mnasubiri Mwigulu atumbuliwe mtasubiri sana
Ila nakuhakikishia kwa Kariakoo ule ujinga wa TRA kubambikia watu ili wale rushwa ukirudi na wakalianzisha hakuna wa kutuliza maana nchi nzima itawaka.
Na ujue wafanyabiashara sio waalimu hao kuwa wakigoma siku mbili tatu njaa xitawaua.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiongozwa na Kamishna Mkuu Alphayo Kidata pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023.

View attachment 2627211
View attachment 2627213
View attachment 2627214
View attachment 2627218
View attachment 2627216
Msoga Kingdom!!
 
Back
Top Bottom