PreGE2025 Rais Samia akubali kumalizia ujenzi wa Msikiti wa Masjid Al-Huda Chato

PreGE2025 Rais Samia akubali kumalizia ujenzi wa Msikiti wa Masjid Al-Huda Chato

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Chato, mkoani Geita, unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja na nusu katika kukamilika kwa ujenzi wake ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua zaidi waumini wa kiisilamu elfu kumi kwa wakati mmoja katika ibada.

Soma, Pia: Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

Taarifa hiyo imetolewa na Sheikh wa Wilaya ya Chato Abdurahamani Ismail Abdala na kusema kuwa waumini wa dini hiyo wameupokea kwa mikono miwili uamuzi huo wa Mheshimiwa Rais.

 
Back
Top Bottom