Rais Samia akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Rais Samia akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
259
Reaction score
199
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza muda wake alimshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi chote cha kuhudumu kama Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo.

FB_IMG_1772287953979.jpg
FB_IMG_1772287956736.jpg
FB_IMG_1772287960058.jpg
FB_IMG_1772287964599.jpg
 
Naona chumba cha kukutana na wageni kimebadilika. Juzi nimeona Balozi wa Singapore, leo huyu Katibu Mkuu wa EAC.
 
Naona chumba cha kukutana na wageni kimebadilika. Juzi nimeona Balozi wa Singapore, leo huyu Katibu Mkuu wa EAC.
Picha ni nzuri mno.

Rais wetu yupo bien.

Nimezipenda.
 
Back
Top Bottom