Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,779
- 6,910
Nyerere alizindua sekondari ya katoliki badala ya kumuachia waziri wa elimu padre chiwanga
GDP ya Tanzania ya mwaka 1970 ilikuwa kiasi gani na ya sasa ni kiasi gani? Nyerere alikuwa anatembea na msafara wa magari 100 mwaka 1970?Nyerere alizindua shule ya sekondari uchama kule nzega 1970s