GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.

Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua mchango wa viongozi wa dini katika kuimarisha umoja na amani ya nchi.

"Sasa nawapa salamu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. Samia na kwa sababu nilimwambia nimealikwa mahali hapa kuwa mgeni rasmi kwa ajili ya mchango wa Kanisa na yeye ni mchamungu akaniambia na yeye atachangia Tsh. Milioni 50," amesema.
WhatsApp Image 2025-07-14 at 11.57.51_a8553d42.jpg

WhatsApp Image 2025-07-14 at 11.57.50_c6e5c8c4.jpg
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, aliwaomba viongozi wa kanisa kuendelea kuiombea nchi hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu ufanyika kwa uhuru na amani.

"Naamini kabisa kwamba mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, tunaliomba kanisa, tunawaomba viongozi wetu wa kanisa, tunawaomba waumini wote tuliombee taifa letu tunapopita katika uchaguzi huu kukawe na uchaguzi wa amani uchaguzi ulio huru lakini zaidi uchaguzi utakaotupatia viongozi watakaoendelea kuliongoza taifa hili," aliomba.

Akitoa salamu za shukrani Paroko wa Parokia hiyo, Padri Deogratius Ntindiko, alimshukuru Rais Samia kwa kuguswa na ujenzi huo na kuchangia kiasi hicho cha fedha.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dkt. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dk. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.

WhatsApp Image 2025-07-14 at 11.57.57_39a12c54.jpg

WhatsApp Image 2025-07-14 at 11.57.56_14cd862e.jpg

WhatsApp Image 2025-07-14 at 11.57.53_e3326ffa.jpg
 
RAIS DK. SAMIA ACHANGIA SH. MILIONI 50 KUCHANGIA UJENZI KANISA KATOLIKI.

Wasira akabidhi kwa niaba ya Rais Samia
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 50 kuchaia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.

Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dk. Samia anatambua mchango wa viongozi wa dini katika kuimarisha umoja na amani ya nchi.

"Sasa nawapa salamu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dk. Samia na kwa sababu nilimwambia nimealikwa mahali hapa kuwa mgeni rasmi kwa ajili ya mchango wa Kanisa na yeye ni mchamungu akaniambia na yeye atachangia sh. milioni 50," amesema.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, aliwaomba viongozi wa kanisa kuendelea kuiombea nchi hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu ufanyika kwa uhuru na amani.

"Naamini kabisa kwamba mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, tunaliomba kanisa, tunawaomba viongozi wetu wa kanisa, tunawaomba waumini wote tuliombee taifa letu tunapopita katika uchaguzi huu kukawe na uchaguzi wa amani uchaguzi ulio huru lakini zaidi uchaguzi utakaotupatia viongozi watakaoendelea kuliongoza taifa hili," aliomba.

Akitoa salamu za shukrani Paroko wa Parokia hiyo, Padri Deogratius Ntindiko, alimshukuru Rais Samia kwa kuguswa na ujenzi huo na kuchangia kiasi hicho cha fedha.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dk. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.
 
Attachments

  • IMG-20250714-WA0349.jpg
    IMG-20250714-WA0349.jpg
    439.6 KB · Views: 17
  • IMG-20250714-WA0345.jpg
    IMG-20250714-WA0345.jpg
    462.5 KB · Views: 14
  • IMG-20250714-WA0343.jpg
    IMG-20250714-WA0343.jpg
    409.5 KB · Views: 18
  • IMG-20250714-WA0341.jpg
    IMG-20250714-WA0341.jpg
    636.5 KB · Views: 11
  • IMG-20250714-WA0339.jpg
    IMG-20250714-WA0339.jpg
    342 KB · Views: 13
  • IMG-20250714-WA0337(1).jpg
    IMG-20250714-WA0337(1).jpg
    416.4 KB · Views: 13
  • IMG-20250714-WA0335(1).jpg
    IMG-20250714-WA0335(1).jpg
    245.3 KB · Views: 17
  • IMG-20250714-WA0333.jpg
    IMG-20250714-WA0333.jpg
    341.8 KB · Views: 13
  • IMG-20250714-WA0331.jpg
    IMG-20250714-WA0331.jpg
    304.6 KB · Views: 15
  • IMG-20250714-WA0329.jpg
    IMG-20250714-WA0329.jpg
    359.9 KB · Views: 16
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.

Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua mchango wa viongozi wa dini katika kuimarisha umoja na amani ya nchi.

"Sasa nawapa salamu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. Samia na kwa sababu nilimwambia nimealikwa mahali hapa kuwa mgeni rasmi kwa ajili ya mchango wa Kanisa na yeye ni mchamungu akaniambia na yeye atachangia Tsh. Milioni 50," amesema.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, aliwaomba viongozi wa kanisa kuendelea kuiombea nchi hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu ufanyika kwa uhuru na amani.

"Naamini kabisa kwamba mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, tunaliomba kanisa, tunawaomba viongozi wetu wa kanisa, tunawaomba waumini wote tuliombee taifa letu tunapopita katika uchaguzi huu kukawe na uchaguzi wa amani uchaguzi ulio huru lakini zaidi uchaguzi utakaotupatia viongozi watakaoendelea kuliongoza taifa hili," aliomba.

Akitoa salamu za shukrani Paroko wa Parokia hiyo, Padri Deogratius Ntindiko, alimshukuru Rais Samia kwa kuguswa na ujenzi huo na kuchangia kiasi hicho cha fedha.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dkt. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dk. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.
Hamna kuongea siku hizi 😂😂😂😂
 
Wala siyo hoja. Hoja ni no Reforms no Election
 
Nani anazialika hizi takataka za masokwe madhabahuni? Hilo jimama la kishetani lisijipendekeze kanisani hatulitaki na hatulipendi
 
Wakati huo yeye mama akiwa wapi!!?ziara ya wapi kwani!!mi nakumbuka tangu comoro hadi leo sijapata updates kupitia vyanzo vikuu!!

October nitatick!!!
 
Mbele ya hela na hayo majoho yao wataysvua na ku
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.

Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua mchango wa viongozi wa dini katika kuimarisha umoja na amani ya nchi.

"Sasa nawapa salamu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. Samia na kwa sababu nilimwambia nimealikwa mahali hapa kuwa mgeni rasmi kwa ajili ya mchango wa Kanisa na yeye ni mchamungu akaniambia na yeye atachangia Tsh. Milioni 50," amesema.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, aliwaomba viongozi wa kanisa kuendelea kuiombea nchi hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu ufanyika kwa uhuru na amani.

"Naamini kabisa kwamba mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, tunaliomba kanisa, tunawaomba viongozi wetu wa kanisa, tunawaomba waumini wote tuliombee taifa letu tunapopita katika uchaguzi huu kukawe na uchaguzi wa amani uchaguzi ulio huru lakini zaidi uchaguzi utakaotupatia viongozi watakaoendelea kuliongoza taifa hili," aliomba.

Akitoa salamu za shukrani Paroko wa Parokia hiyo, Padri Deogratius Ntindiko, alimshukuru Rais Samia kwa kuguswa na ujenzi huo na kuchangia kiasi hicho cha fedha.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dkt. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dk. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.
Naona wanalamba matapishi yao
 
Hawa viongozi wa dini ni vigeugeu,ni juzi tu wametoa waraka wa kutoruhusu wanasiasa kusimama kwenye mimbari zao, siku chache tu wanarefusha mikono kupokea hongo za uchaguzi! hopeless kbs!
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.

Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua mchango wa viongozi wa dini katika kuimarisha umoja na amani ya nchi.

"Sasa nawapa salamu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. Samia na kwa sababu nilimwambia nimealikwa mahali hapa kuwa mgeni rasmi kwa ajili ya mchango wa Kanisa na yeye ni mchamungu akaniambia na yeye atachangia Tsh. Milioni 50," amesema.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, aliwaomba viongozi wa kanisa kuendelea kuiombea nchi hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu ufanyika kwa uhuru na amani.

"Naamini kabisa kwamba mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, tunaliomba kanisa, tunawaomba viongozi wetu wa kanisa, tunawaomba waumini wote tuliombee taifa letu tunapopita katika uchaguzi huu kukawe na uchaguzi wa amani uchaguzi ulio huru lakini zaidi uchaguzi utakaotupatia viongozi watakaoendelea kuliongoza taifa hili," aliomba.

Akitoa salamu za shukrani Paroko wa Parokia hiyo, Padri Deogratius Ntindiko, alimshukuru Rais Samia kwa kuguswa na ujenzi huo na kuchangia kiasi hicho cha fedha.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dkt. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.

"Kupitia nafasi yako (Wasira) tunamshukuru sana Rais Dk. Samia amegusa nyoyo zetu amegusa matarajio yetu kwa mchango wake wa sh. milioni 50, sisi wana Nyalukungu tunamuombea," alisema.
Mwendo wa kuhonga na kujipendekeza kinafiki kutafuta kura za kujilisha upepo
 
Back
Top Bottom