PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Apewe kazi ya Udhamini wa Simba na Yanga..

Kama kweli kukuza michezo sio kwa publicity ya kutoa kwenye timu usafiri na magoli bali Kwenye Taasisi husika ili wafanye investment ya pesa hizo kuanzia grassroots..

Ila kama ni pesa yake binafsi Hongera kwake siwezi kumpangia matumizi. (Ingawa kama hana biashara / personal income tofauti na Kodi zetu naweza kusema maybe tunamlipa nyingi)
 
Every Roman Caesar must feed his gladiators who entertain and distract the masses.​
 
Pamoja na ushabiki wangu kwa Simba sisapoti huu ujinga.
Mo alipaswa kujibu Kama mwenyekiti wa bodi ya Simba kwa kutuma barua yenye nembo ya Simba na sio kujibu Kama yeye personal.

Kampeni za kitoto kabisa hizi. Serikali ina mahitaji chungu mzima, wakandarasi wana madeni hawalipwi. Kwani hizo bilioni za Simba toka CAF si ndio kazi yake hiyo

KWa huu upande naona ndio kabobea

Hizii siasa kwenye mpira ndo zinatuharibia mpira wetuu.
Viongozi wa Simba wanapata wakati mgumu sana kuchomeka siasa na uchawa katika mafanikio ya Simba maana wanajua mashabiki wengi wa Simba hawafagilii hizi pigo.

Wawe makini saaana na haya mambo, yanaweza kuleta madhara kuliko faida.
 
Hivi kwanini huyu mama anajali vitu pety pety ? Hapo kuna mtanzania yupo mateka Sudan kwa 36M hapo serikali haipo! Dah
Kwa sababu mlishasomeka hivo na nyie.
Watu elderly by age number and body, mentally filled with foolishness.
 
Naona Utopolo wana'dislike'.
 
Kwanini MO anashujuru yeye kwaniaba ya timu?
na sio timu yenyewe kwa maana kwamba hata address hapo tungeziona ni za timu na heading ingekuwa bodi ya wakurugenzi ya simba na sio nembe ya MO.?!
 
Simba na yanga hazina shida na pesa za serikali anazo chezea kama midoli vike alafu wakati huo vitu vya msingi vinakwama
 
Mahela ni ya mama, madeni ni ya serikali.

Vv
Furaha ya ushindi wa Simba ni ya watanzania wote. Licha ya shida zote za maisha, lakini kuna kipindi unatakiwa kuitafuta furaha japo ni nusu furaha. Na kusahau kidogo mambo ya siasa.
 
Ila tukiachana na mpira, tuangalie walau shule zote za Serikali ziezekwe kwa bati na ziwe na madirisha na milango tu.
We unataka shule ziwe bora ili mtoe wananchi bora wanao jielewa waipindue CCM? My friend, elimu ya kuunga unga nchi hii ni mpango madhubuti kabisa wa kuzalisha hopeless generation.
 
Izo pesa zinge elekezwa kwenye ku boresha huduma za afya.
 
Plato alisema nchi inatakiwa kuongozwa na PHILOSOPHER na sio TAJIRI au MTU MAARUFU. Cheki sasa Tanzania inavyoongozwa.

Tz inawaya waya
 
Kila laheri Mnyama huko bondeni.
 
Kinachoniuma ni Tanganyika ya watu 60M+ KUKUBALI kutawaliwa na raia wa nchi jirani ambayo idadi ya raia wa nchi hiyo haizidi 2M,huu ni ujinga wa watanganyika
Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania.
 
Chura kiziwi acha usenge,watoto wanakaa chini hawana Madawati unapeleka fedha kwenye upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…