Nilijua hii conclusion imenichanganya mimi tuu.Sasa umetaja wote wawili mama na hayati wamemdharau Kasim ila conclusion yako nchi haifai kuongozwa na mwanamke, hayati nae alikuwa mwanamke??
Ametania tuu.Upuuzi gani huu unausema? Msemo wa kufa kufaana umekaa upande wenu basi mnaona washindi? Haya mambo ni ya muda nature itachukua mkondo wake.
Asinge muiga hayati kwa kumdharau waziri mkuuSasa umetaja wote wawili mama na hayati wamemdharau Kasim ila conclusion yako nchi haifai kuongozwa na mwanamke, hayati nae alikuwa mwanamke??
Kauli ya 'kwa hakina kasimu' huoni ni dharau huyoSasa kamdharau nini
Angeonyesha utofauti siyo na yeye amdharau waziri mkuuI had the same question
Au siyo! Sasa upande mwingine wa shilingi ni kuwa: Atake asitake, iwe jua iwe mvua, iwe joto iwe baridi; kuanzia Novemba 2025 raisi hatakuwa yeye (no more room for she president and chairperson)2024 Tukutane hapa Tubadili katiba Rais Samia atawale milele atake asitake. Hakuna kama Rais Samia.
Kauli ya " kwa akina kasimu' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Itakuwa yeye mwenyewe hajiheshimu ndio maana haheshimiki. Kwanza alipita bila kupingwa. Waziri Mkuu unapitaje kwenye jimbo lako kwa kutegemea mbeleko?
Majaliwa hata Ualim ulimshindaAmwondoe arudi kwenye kazi yake ya ualimu, cheo siyo milele
Wanawake wa pwani kutawala ni mistake kubwa, kama waume zao wawili awamu ya pili na ya nne wamevurunda hao kinamama wa pwani ndio wataweza?Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Hata mimi sioni makosa yake na ingefaa mama kumwachia mikoba hapo mbeleniHatapatikana PM kama Majaliwa katika CCM ya sasa.
Si TISS ndio wanampa kiburi huyo mwanamke, wale jamaa ni kama marobot chochote kitakachokuwa juu ya kiti watakilinda hata mkiweka kibuyu, ukikigusa wanakunyoosha,[emoji28][emoji28][emoji28]na yeye maskini kaufyata.
Hivi uislamu unaruhusi mwanamke kutawala wanaume ? Maana nchi hii watu wanaapishwa kwa vitabu vyao, nchi haina dini lakini watu wana dini, waislamu wanasemaje,Hata mimi sioni makosa yake na ingefaa mama kumwachia mikoba hapo mbeleni
Unayo hoja ya msingi.Wanawake wa pwani kutawala ni mistake kubwa, kama waume zao wawili awamu ya pili na ya nne wamevurunda hao kinamama wa pwani ndio wataweza?
Hasa kwa waislam ni kawaida sana kuitana first names na inapendeza sanaNi kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.